Shirikisho la Soka Afrika “CAF” limekubali kuahirishwa kwa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa mchezo wa mkondo wa pili kati ya Zamalek SC ya Misri 🇪🇬 dhidi ya Raja Club Athletic ya Morocco 🇲🇦.
Hii ni baada ya wachezaji tisa wa Raja Club Athletic kukutwa kuwa wana virusi vya Corona. Katika mtanange wa kwanza huko jijini Casablanca, Zamalek waliibuka na Ushindi wa 0-1 kwa bao pekee la Achraf Bencharki.
Wizara ya Afya ya Morocco iliamuru Wachezaji wa Raja kujitenga karantini kwa wiki moja na hiyo ingefanya kuzuia kusafiri kwenda Misri kwa mchezo huo wa Jumamosi hii ya Oktoba 24 ndani ya Uwanja wa Kimataifa wa Cairo.
Ondoka na Mkwanja Kwenye Tsh. 160,000,000
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu.
Ernest
Hii Corona sio pouwa kabisa
magdalena
corona imerudisha mambo mengi nyuma sana
Adelta
Coronavirus sio poa kabisa
Tatu
Corona imewafanya kila kitu kiludi nyuma
Sauda
Corona hatari sana
Lydia Emmanuel Magoti
Duu Corona sio poa inaludisha vitu nyuma Sana
Elika
Hii Corona sasa imekuwa kikwazo.ila pole sana kwa wachezaji hao
Khadija
Duh!!!corona inarudisha mambo nyuma sana
Angelina
Covid19 ni janga zito wazid kuchukua tahdhari
Dorophina
Corona sasa inayumbisha uchumi wa nchi nyingi kwenye tasnia ya michezo
Caroline
Corona inaturudisha nyuma sanaa
Neema
Corona sio poa kabisa
Fatina mfingi
Corona sio powah kwa kweli
Fatuma kasomo
Duh sio poa
Janeflora malisa
Ttz hil sijui mpk lin
Salma ngende
Corona inajuwa kuyumbisha
Mwajumah
Duuh hii corona ni tishio sasa
Mwanahamisi
Colona sio poa
Hidaya
Tanzania tumeshasahau habari za corona
Saupha mohamed
Corona sio poa
aisha
Duuh majanga hayo
Sabrina
Covid-19 Nishidaa
felister
hii corona sio poa kabisaaa
Gabriel
Imekaa poa sana 👍
Hopemwaikuka
Corona ndo chanzo
Issa
Covid noma
Povel
Covid 19 ni janga la dunia
Warda
Da malazi haya sio poa