Kiungo wa zamani wa Chelsea, Ramires Santos do Nascimento anafikiria kucheza kwenye Liki kuu ya South Afrika PSL wakati nyota huyo wa Brazil anafikiria sehemu sahihi ya kumaliza soka lake.

Ramires, ambaye ameitumikia Brazil mara 51, kwa sasa ni mchezaji huru baada ya kuichezea Palmeiras hadi mwisho wa mwaka jana.

 

ramires, Ramires Afikiria Kukipiga Ligi ya South Afrika (PSL)., Meridianbet

KickOff.com imesema kwamba wakala wake wa Ureno Simon Mimbire anafanya kazi kwa uhusiano na beki mstaafu wa Msumbiji Helder ‘Mano-Mano’ Muianga juu ya uwezekano wa kuhamia PSL.

Ingawa kuna maslahi kutoka Qatar na Uturuki, PSL inabaki kuwa chaguo linalomvutia huku akiangalia Ligi ambayo ainafwatiliwa na kulipa zaidi.

Mchezaji huyo wa miaka 33 alitumia miaka mitano na nusu huko Stamford Bridge na kushinda Kombe la UEFA, Ligi ya Europa, Ligi Kuu ya England, Kombe la FA na Kombe la Ligi.

 

ramires, Ramires Afikiria Kukipiga Ligi ya South Afrika (PSL)., Meridianbet

Alishinda Mashirikisho ya FIFA ya 2009 huko Afrika Kusini, akicheza mechi zote tano kwa Selecao, na akarudi mwaka uliofuata kwa Kombe la Dunia.

Ramires pia alicheza katika ushindi wa kirafiki wa 5-0 dhidi ya Bafana Bafana kwenye Uwanja wa FNB mnamo 2012.


TUNGENEZA FAIDA KUPITIA KASINO YA MERIDIANBET

Neptune’s Richies ni mchezo Unaokupa pesa chap chap huku ukiwa unaburudika kupitia Kasino ya Mtandaoni ndani ya Meridianbet.

Neptune's-Riches_Casino-Post_30-January

Cheza hapa

14 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa