Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford ameendelea kuonyesha ubora wake katika Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya (UEFA) licha ya timu yake Kupoteza 3-1 dhidi ya PSG.

Katika mchezo huo wa kundi H uliopigwa katika dimba la Old Trafford uliwaendea vyema wageni baada ya Neymar kuwaandikia bao la uongozi katika dakika ya 6 tu ya mchezo.

 

rashford, Rashford Aendelea Kung’ara UEFA., Meridianbet

Kabla ya Rashford kusawazisha dakika ya 32 ya mchezo na kuisaidia timu yake kwenda mapumziko wakiwa sare. Magoli ya kuzamisha chombo cha United yalifungwa na Marquinhos (69) na Neymar (90+1)

Goli hilo linamfanya Rashford kuwa mmoja wa wachezaji waliofunga magoli mengi (6)  katika Ligi ya Mabingwa msimu huu.

Orodha ya Wafungaji Bora UEFA msimu huu wa 2020/21:

1. Marcus Rashford Manchester United England 6
2. Erling Braut Håland Borussia Dortmund Norway 6
3. Álvaro Morata Juventus Spain 6
4. Alassane Plea Borussia Mönchengladbach France 5
5. Olivier Giroud Chelsea France 5
6. Ciro Immobile Lazio Italy 4
7. Diogo Jota Liverpool Portugal 4
8. Mergim Berisha Salzburg Kosovo 4
9. Romelu Lukaku Inter Belgium 4

 


FURAHIA MUZIKI MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Mchezo wa Astro Legend unakupatia burudani ya muziki kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

rashford, Rashford Aendelea Kung’ara UEFA., Meridianbet

INGIA MCHEZONI

26 MAONI

  1. Yuko sawa kiukweli man u walicheza vizuri ingawa kunamakosa madogo madogo ambayo walikuwa nayo kwenye upande wa ulizi langoni kama watafanya solution ya makosa yao basi wanaweza kubadilika badae

  2. Rashford anaendelea kung’aa lakini Manchester inazingua sana siku hizi,yani kama gari la mkaa tripu shamba tripu gereji

  3. Yuko sawa kiukweli man u walicheza vizuri ingawa kunamakosa madogo madogo ambayo walikuwa nayo kwenye upande wa ulizi langoni kama watafanya solution ya makosa yao basi wanaweza kubadilika badaye

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa