Rashford Amkubali Mane EPL.


Staa wa Manchester United, Marcus Rashford amemtaja fowadi wa Liverpool, Sadio Mane kuwa ndiye mchezaji wa Kiafrika bora zaidi aliyewahi kukabiliana naye kwenye Ligi Kuu England.

 

Katika kipindi cha maswali na majibu cha Twitter, Rashford aliulizwa amtaje mchezaji bora zaidi wa Afrika aliyewahi kukabiliana naye kwenye ligi tangu alipoanza kucheza mwaka 2015.

β€œNadhani kuna vipaji vingi vya Kiafrika kwenye ligi kwa wakati huu, mmoja wao ni Mane.” alisema mshambuliaji huyo.

Rashford amekabiliana na wachezaji mahiri kama Mohamed Salah, Yaya Toure, Pierre-Emerick Aubameyang na Riyad Mahrez, lakini anampa nafasi ya juu kabisa Mane.


UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

CHEZA HAPA

3 Komentara

    Ninachompendea Rash huwa anatoa kongore bila ubishi

    Jibu

    Rashford yuko vizuri

    Jibu

    Mane jembe

    Jibu

Acha ujumbe