Mchambuzi wa vipindi vya michezo Skysport  Paul Merson amesema kuwa mchezaji wa Mancheester United Marcus Rashford anapaswa kwenda Qatar kucheza kombe la Dunia lakini sio Jadon Sancho.

Rashford Anatakiwa Kwenda Qatar, Sio Sancho

 

Nadhani Marcus Rashford anapaswa kujisikia vibaya. Kama asingekuwa majeruhi, nadgani angeingia kwenye kikosi hiki na ninadhani ataingia kwenye kikosi cha mwisho cha wachezaji 26 wa Kombe la Dunia ikiwa ataendelea kufanya vizuri.

Alisema kuwa hadhani kama kuna mtu yeyote atakayeingia kwenye kikosi cha England kati ya sasa na kombe la Dunia. Hakuna wanasoka wengi wa Uingereza wanaocheza vizuri kwa sasa. Roy Keane aligonga kichwa aliposema: Kama huchezi kwaajili ya nchi yako wewe sio mzuri sana.

 

Rashford Anatakiwa Kwenda Qatar, Sio Sancho

Siwezi kufikiria mtu yoyote ambaye hachezi England kwasasa ambaye ni mzuri, hakuna wachezaji wengi walioachwa huko. Watu wanamzungumzia Jadon Sancho, lakini amefunga mabao mawili ya ligi kuu ya Uingereza na hakupata pasi za mabao

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa