Klabu ya Real Madrid wamekamilisha rasmi usajili wa David Alaba mpaka mwaka 2026 kwa uhamisho huru kutoka Bayern Munich. Mchezaji huyo atalipwa kitita cha €12.5m kwa mwaka.

Mchezaji huyo wa miaka 28 raia wa Austria 🇦🇹 kasaini mkataba wa miaka mitano huko Estadio Santiago Bernabeu na atajiunga rasmi na klabu yake mpya baada ya mkataba wake huko Bayern utakapomalizika Juni 30.

 

Bayern ilionyesha ishara ya kuondoka kwa Alaba kwa kutangaza kuwasili kwa mbadala wake, Dayot Upamecano kutoka RB Leipzig mnamo Februari 12. Kwa kusainiwa kwa Alaba, Real Madrid ina faida ya nafasi tatu kwenye kikosi chake kwa mchezaji huyu; beki wa kushoto, beki wa kati na kiungo wa chini.

Alifanikiwa kufunga jumla ya magoli 35 na Bayern pia ameshinda mataji kumi ya Bundesliga, hiyo ni rekodi katika historia ya Bundesliga (sawa na Thomas Muller). Ana 73% ya kushinda michezo yake 298 ya Bundesliga (217) – kati ya wachezaji wote walio na angalau michezo 250 hakuna mchezaji aliye na Asilimia kubwa kuliko yeye (sawa na Frank Ribery).


BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.

Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.

tuchel, Tuchel :Tuna Bahati Tottenham Wametusaidia Kazi., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa