Rasmi: La Liga Kurejea Kuanzia Juni 8!

Kwa mujibu wa Waziri Mkuu wa Hispania Pedro Sanchez, ligi ya La Liga inaweza kuendelea kuanzia Juni 8.

Wakati kila ligi ulimwenguni ikiwa inajiandaa kurejea, kwa kuhakikisha kunakuwa na tahadhari za afya, huu unaweza kuwa wakati muafaka wa kuendelea kufurahia soka.

Raisi wa Ligi ya Laliga, Javier Tabas , aliweka wazi kabla kuwa alikuwa na matumaini kuwa ligi ingerejea mapema Juni 12. Hata hivyo, Laliga hawakuthibitisha kama hii itakuwa tarehe rasmi.

Kismsingi, uongozi wa Laliga ulikuwa unatarajia Tamko la serikali ambalo lingewaongoza katika kufanya maamuzi na mipango ya kuendelea.

Mwanzoni mwa wiki, wachezaji wa Laliga walikuwa wanaweza kufanya mazoezi katika makundi ya wachezaji wasiozidi 10.

Rasmi: La Liga Kurejea Kuanzia Juni 8!

Waziri Sanchez amesema “Kuanzia Juni 8 Laliga itarejea”. Ameongeza kuwa Hispania imejitahidi kufanya kila linalowezekana na sasa milango mingine inafunguliwa kwa kila mtu ukiwa ni wakati wa kurejea kufanya shughuli za kawaida za kila siku.

Bila shaka, Laliga wataendelea kufuata maelekezo ya shirika la Afya Duniani, pamoja na Wizara yenye dhamana nchini humo, ikiwa ni pamoja na kucheza bila mashabiki kwa sasa.

Ligi ya daraja la pili Hispania inatarajiwa kuanza wakati huo huo pia, kama Ligi Kuu LaLiga. Kwa wapenzi wa soka ni wakati wa kufurahia radha halisi ya soka.

36 Komentara

    uhondo wa la liga unakaribia. Habari njema kwetu#Meridianbettz

    Jibu

    hii ni habari njema aisee

    Jibu

    Mambo mazuri yanakuja

    Jibu

    Mambo moto moto sasa

    Jibu

    Ahsante kwa habari nzuri

    Jibu

    Ni habari njema kwa wanasoka

    Jibu

    Uondo huoooo.

    Jibu

    Mashabiki tuna subiri kwa hamu zote

    Jibu

    Meridianbet #muko vizur

    Jibu

    Mambo mazuri haya yanakuja

    Jibu

    gud newz

    Jibu

    Tutarajie ongezeko la tofauti kwenye uendeshwaji wa mchezo kwa league ya spain la toafuti na bundasilga

    Jibu

    Mamboo mubasharaaa kabisaa

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    mambo mazuri hayo yanarudi maana tumemis ligi#meridianbettz

    Jibu

    Mashabiki tunaisubili kwa hamu

    Jibu

    Ni habar njema kwa Mashabik na wapenz wa la liga thanks meridian bet kwa update

    Jibu

    Ule utamu wa laliga ambao wengi tulikwa tunausubiri unakaribia

    Jibu

    Hii Ni habari njema sana

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki

    Jibu

    Mambo mazuri yanakuja

    Jibu

    No habar nzur kwetu

    Jibu

    Habari njema kwa wadau wasoka

    Jibu

    Mambo Ni moto

    Jibu

    Mambo mazuri ayo yanajiri mahana tumemic Sana

    Jibu

    Jambo zuri maana tulisubiri sana

    Jibu

    bora la liga ianze

    Jibu

    Lig bora ya mgoli mengi Sasa mda wa kubeba mizigo

    Jibu

    Ni habari inayofurahisha sana tunaanza tena kupata uhondo wa mpira.

    Jibu

    Let’s go Laliga

    Jibu

    Woyooo Bora ligi zianze ili tuanze kujipatia mapesa #meridianbet

    Jibu

    Good news 👍#meridianbettz

    Jibu

    Bora ligi zianze maana tulimisi sana michezo

    Jibu

    Irejee tu tuangalie uwezakano wa kutafuta pesaaa

    Jibu

    Imekaa pouwh

    Jibu

    Mambo moto#meridianbettz

    Jibu

Acha ujumbe