Rasmi Klabu ya Norwich imeshuka daraja kutoka Ligi ya Primia ikiwa imesalia michezo 4 baada ya kukubali kichapo cha 2-0 kutoka kwa Aston Villa katika dimba la Villa Park.

 

norwich, Rasmi Norwich Yashuka Daraja EPL., Meridianbet

Kikosi cha Dean Smith kilihitaji kushinda dhidi ya timu yake ya zamani au kutegemea Burnley kufungwa katika dimba la Vicarage Road lakini Burnley walitokea nyuma wakiwa pungufu na kutwaa pointi zote tatu katika dakika 10 za mwisho.

Norwich walijizatiti dakika za mwisho lakini wenyeji waliadhibu Canaries dakika za lala salama wakati Ings alipopata mpira karibu na eneo la hatari, akageuka na kuongeza bao la pili la Villa katika dakika ya (90+3).

Meneja wa Norwich Dean Smith amesema: “Nimesikitishwa kwa sababu haukuwa mchezo ambao tulipaswa kushushwa daraja. Nilidhani ulikuwa mchezo mzuri. Tulituliza umati.”


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa