Rasmi, Pochettino Atangazwa Mrithi wa Tuchel

Klabu ya Paris Saint Germain wamemtangaza rasmi aliyekuwa kocha wa Tottenham Mauricio Pochettino kama mrithi wa Tuchel ambaye tayari walishasitisha mkataba wake.

Pochettino amewasili PSG leo na kusaini mkataba hadi Juni 2022, huku kukiwepo na kipengele cha kuongeza mkataba kwa mwaka mmoja zaidi.

Pochettino ana historia ya mda mrefu na PSG, ambako aliwahi kuichezea kama beki wa kati. Alicheza jumla ya mechi 95 kati ya mwaka 2001 hadi 2003 akifanikiwa kufunga magoli 6.

Rasmi, Pochettino Atangazwa Mrithi wa Tuchel

Kuwasili kwake PSG kunatarajiwa kuwa kunaweza kuongeza chachu ya jitihada za klabu hiyo kumsajili Christian Eriksen kutoka Inter.

“Ninafuraha kubwa na kuhisi fahari kuwa meneja mpya wa Paris Saint-Germain. Ninaishukuru klabu kwa kuniamini. Kama mnavyojua, klabu hii imekuwa na sehemu yake moyoni mwangu. Nina kumbukumbu nzuri za hapa, hasa hali ya hewa nzuri ya Parc des Princes.”

– Mauricio Pochettino akinukuliwa na tovuti ya PSG.

Mwenyekiti na mkurugenzi wa PSG, Nasser Al-Khelaïfi amesema kuwa wanashukuru kumkaribisha Pochettino tena klabu hapo, na wana matumaini kuwa atawapa kile klabu inachotarajiwa kutoka kwake.

___________________________________________________________________

VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?

SOMA ZAIDI

 

18 Komentara

    Habarii nzuri sana

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Good

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Tuchel atakumbukwa kwa mchango wake

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Inapendeza sana karibu PSG

    Jibu

    All the best Pochettino.

    Jibu

    atakumbukwa daima

    Jibu

    Wamepata kocha bora zaidi naamini ataleta mabadiliko ndani ya klabu

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Very good

    Jibu

    Kaz kazin

    Jibu

    Kila LA kheri kwake

    Jibu

    Nae ajiandae akivurunda out

    Jibu

    Psg wamepatakocha

    Jibu

Acha ujumbe