Rasmi : Ramos Aachana na Real Madrid.

Klabu ya Real Madrid imethibitisha kuachana na beki wake Sergio Ramos baada ya miaka 16 kukitumikia kikosi hicho cha Los Blancos.

Real Madrid na Sergio Ramos walishindwa kufikiana makubaliano baada ya klabu hiyo kutaka kumuongeza mkataba wa mwaka mmoja wakati yeye akitaka zaidi.

 

Leo itafanyika hafla ya kumuaga na kumshukuru kapteni huyo itafanyika na raisi wa klabu hiyo Florentino Pérez atahudhuria.

Real Madrid C. F. inatangaza kuwa kesho [Leo], Alhamisi, Juni 17, saa 12:30 jioni, kutakuwa na hafla ya kumshukuru na kumuaga nahodha wetu SergioRamos, na rais wetu Florentino Pérez atahudhuria.
“Kisha, Sergio Ramos atatokea mbele ya waandishi wa habari kwenye mkutano wa waandishi wa habari wa telematic.” Ilisomeka taarika katika wavuti ya Real Madrid.

La Liga: 🏆🏆🏆🏆🏆
Copa del Rey: 🏆🏆
Spanish Super Cup: 🏆🏆🏆🏆
Champions League: 🏆🏆🏆🏆
UEFA Super Cup: 🏆🏆🏆
Club World Cup: 🏆🏆🏆🏆

📝 Games: 671
⚽ Goals: 101
🅰 Assists: 40


SHINDA TSH 150,000,000/=

Mtaani kumechangamka, washkaji wanakamata mkwanja kwa mkakati tu na Footbal Fever! Ni rahisi, changamkia fursa hii kushinda mgao wako wa TSH 150,000,000/= 💰🤑

Atletico, Atletico Waunga Tela kwa Calhanoglu, MeridianbetINGIA MCHEZONI

Acha ujumbe