Hii Hapa Ratiba ya EPL Wiki za Mwanzo!

Liverpool wanatarajia kuendeleza ubabe wao katika mbio za kuwania taji la EPL kwa mara ya kwanza katika miaka 30. Jitihada zao za kutwaa ubingwa baada ya kuambulia patupu miaka hiyo yote zitaendekea pale wanapokutana na Everton Jumapili ya kwanza ya michuano kuanza.

Ratiba iliyotolewa leo Ijumaa inaonesha kuwa debi hii ya Merseyside itachezwa Jumapili Saa moja usiku -Kwa mda wa Uingereza.

Everton wanatarajiwa kuwa wenyeji wa mechi hii. Hata hivyo, kuna walakini mechi ikahamishiwa kwenye uwanja wa mechi za pamoja kutokana na mikakati ya kiafya.

Liverpool wanaweza kujitangaza mabingwa kama watashinda dhidi ya Everton lakini hii itawahitaji Manchester City kupoteza dhidi ya Arsenal kwenye siku ya kwanza ya muendelezo wa Ligi pale Juni 17.

Ratiba ya Wiki za Awali za Kurejea kwa Ligi

Jumatano, Juni 17

Aston Villa v Sheffield United

Manchester City v Arsenal

Ijumaa, Juni 19

Norwich City v Southampton

Tottenham v Manchester United

Jumamosi, Juni 20

Watford v Leicester City

Brighton and Hove Albion v Arsenal

West Ham v Wolves

Bournemouth v Crystal Palace

Jumapili, Juni 21

Newcastle United v Sheffield United

Aston Villa v Chelsea

Everton v Liverpool

Jumatatu, Juni 22

Manchester City v Burnley

Jumanne, Juni23

Leicester City v Brighton

Tottenham v West Ham

Jumatano, Juni 24

Manchester United v Sheffield United

Newcastle United v Aston Villa

Norwich City v Everton

Wolves v Bournemouth

Liverpool v Crystal Palace

Alhamisi, Juni 25

Burnley v Watford

Southampton v Arsenal

Chelsea v Manchester City

Jumamosi, Juni 27

Aston Villa v Wolves

Jumapili, Juni 28

Watford v Southampton

Jumatatu, Juni 29

Crystal Palace v Burnley

Jumanne, Juni 30

Brighton v Manchester United

Jumatano, Julai 1

Arsenal v Norwich City

Bournemouth v Newcastle United

Everton v Leicester City

West Ham v Chelsea

Alhamisi, Julai 2

Sheffield United v Spurs

52 Komentara

    Hapo Kuna mechi ngumu sanaa kuliko matarajio ya wengi

    Jibu

    hizi ratiba ni hatari sana, ukiangalia mfululizo wa mechi zenyewe, ni vigumu kusema ligi imekwisha, bado ratiba ni ngumu

    Jibu

    Nasubir chamalangu Chelsea..!

    Jibu

    Meridianbet mambo n moto

    Jibu

    mininataka hiyo mechi ya kwanza

    Jibu

    Zote Kali sijui nitoke nazo vp hz

    Jibu

    Mechi zote za kukata na shoka hachomoki mtu hapo

    Jibu

    Duuh mechi zote za kuchimbua mzizi kwa shoka ,kwng ni ubashir wa mechi mbil mbili ttena2+Tia mzigo hiyo ni sure

    Jibu

    Mechi zote kali

    Jibu

    Na hivii tulizimic ratiba imekaaa bomba kabisa

    Jibu

    Jaman mechi zote ni Kali sana

    Jibu

    Meridani Safi sana

    Jibu

    Asante kwa taarifa #meridian

    Jibu

    Bora maamuzi ya hii ligi walivoamua irudi maana kuhusu bingwa lilikuwa ni swala la utata sana

    Jibu

    Karina iko vzur kaz kwetu kuandaa mikeka yetu na kutusua mapene

    Jibu

    Siyo ya kizembe iyo ni kuandaa tyuu mkeka

    Jibu

    Zote Kali sijui nichahue ipi navilugwa hapo

    Jibu

    naisubiri kwa hamu kubwa game ya man city na arsenal

    Jibu

    Eeebwana mambo ndio hayo mechi mapema nikuweka mzigo

    Jibu

    Ahsante kwa taarifa #meridianbettz

    Jibu

    ukiangalia mfululizo wa mechi zenyewe, ni vigumu kusema ligi imekwisha, bado ratiba ni ngumu

    Jibu

    Mechi ngumu sana

    Jibu

    liver kazeni taji la EPL linaweza likawa lenu

    Jibu

    hapo nimetulia tuli naisubili liverpool ndio chama langu

    Jibu

    Ila Liverpool wamesotea kombe mda sana#Meridianbettz

    Jibu

    Pamoja na hiyo ratiba bado karata yangu naiangushia kwa liverpool..

    Jibu

    Mechi za Leo sio POA sana

    Jibu

    Asanteni kwa taarifa ila Liverpool ni mwaka wao huu

    Jibu

    Hizo ratiba ni hatari sana #meridianbettz

    Jibu

    Ratiba imekaa vizuri sanaa na burudani itakuwa safii

    Jibu

    Epl is Back again

    Jibu

    Ratiba iko vizuri ngoja niandae jamvi langu
    #meridianbettz

    Jibu

    Ratiba inatuwezesha kuweka mkeka wa wiki nzima kwa mechi za EPL.Hii habari muhimu#meridianbettz

    Jibu

    Safii sana hii inasaidia kwasababu nitaweka ratiba yangu sawa.

    Jibu

    City na arsenal tunaisubir kwa hamu

    Jibu

    Tusubil burudani ya soka#meridianbettz

    Jibu

    Time for placing bets on EPL with Meridianbet.

    Jibu

    Mechi zotee kalii meridiani safii

    Jibu

    Arsenal baba lao lazima kieleweke

    Jibu

    Time to Betty thnks meridian kwa update

    Jibu

    Ngoja niwahi kubet nisubiri matokeo mechi zangu naweka 3+ zote

    Jibu

    Mechi Kama zote

    Jibu

    Mechi zote kali ni mwendo wa kubet tu

    Jibu

    Ratiba imekaa poa poa Sana tushindwe kujinyakulia pesa

    Jibu

    Tunasubiria Kwa hamu.

    Jibu

    Mechizaleo zote Kali sijui nitokenazo vip

    Jibu

    Duuuh yaani apo kufumba na kufumbua pesa kibindon

    Jibu

    Mechi zaleo zite bomba

    Jibu

    Duuuh

    Jibu

    Nasubili nione km watabeba liver ubingwa.

    Jibu

    Duuh majeshi kama yotee

    Jibu

    Maoni:asante kwa taarifa

    Jibu

Acha ujumbe