Mchezaji wa klabu ya Villarreal Raul Albiol ambaye alijiunga na klabu hiyo mwaka 2019 akitokea nchini Italia kwenye klabu ya Napoli huku wengi wakishindwa kuamini ikiwa kwa umri alionao kama leo angeweza kuiongoza klabu hiyo kwenye mchezo wa nusu fainali ya mabingwa ulaya.

Raul Albiol akiwa na 33, alitengeneza maswali mchango wake kwenye timu hiyo, lakini vetaran amekuwa akizidi kuimarika siku hadi siku. Kucheze na Pau Torres kwenye nafasi ya ulinzi kumekuwa na mchango mkubwa kwenye klabu hiyo.

Mchezo wa nusu fainali ya ligi ya mabingwa ulaya dhidi ya Liverpool, Raul Albiol anakuwa mchezaji wa kwanza mwenye umri mkubwa kwenye taifa la Hispania kucheza hatua hiyo huku akivuka kumbukumbu iliyowekwa na Xavi Hernandez.

Mlinzi huyo wa kati mgumu ambaye kwa sasa kni kocha wa klabu ya Barcelona, klabu ambayo alifanikiwa kuweka nayo kumbukumbu hiyo. Huku mchezo ambao aliweka nao kumbukumbu hiyo ukiwa dhidi ya Bayern Munich akiwa na miaka 35 na siku 107. Raul Albiol amevunja leo akiwa na miaka 36 na siku 235.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa