Mshambuliaji wa Wolves, Raul Jimenez amezungumza kwa mara ya kwanza kupitia twitter baada ya kufanyiwa upasuaji kutokana na mshtuko kwenye ubongo.

Raia huyo wa Mexico amezungumza kwa mara ya kwanza  baada ya kufanyiwa upasuaji kwa kuwa alipata mshtuko alipogongana na David Luiz kwenye mchezo wa Ligi Kuu Engand Jumapili ambapo Arsenal ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-1.

Jimenez, Raul Jimenez Azungumza Baada ya Upasuaji, Meridianbet

Nyota huyo amesema kuwa bado yupo kwenye matibabu na anaamini kwamba atarejea uwanjani hivi karibuni kwa kuwa anaendelea vizuri.

Jimenez ameweka wazi kuwa shukrani zake ni kwa Mungu pamoja na mashabiki ambao wamekuwa wakimtumia ujumbe kwa ajili ya kumjulia hali na kumuombea kheri.

Asante kwa sapoti kupitia meseji zenu mashabiki, nipo kwenye maendeleo mazuri kwa sasa na nina matumaini kwamba nitarejea uwanjani hivi karibuni,” amesema.

Wolves pia wameweka taarifa kwamba nyota huyo anaendelea vizuri baada ya kufanyiwa upasuaji kwa kuwa ulikwenda vizuri katika hospitali ya London hivyo atarejea uwanjani hivi karibuni.


FURAHIA MUZIKI MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Mchezo wa Astro Legend unakupatia burudani ya muziki kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

Jimenez, Raul Jimenez Azungumza Baada ya Upasuaji, Meridianbet

INGIA MCHEZONI

14 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa