Mechi kati ya Real Betis na Sevilla inaweza kuwa mechiΒ ya kwanza kurejea kwa msimu Juni 11.
Mkurugenzi Mkuu wa La Liga, Javier Tebas amesema mechi hiyo itakuwa “faraja kwa wafiwa”.
Japo, Tebas ameonya wachezaji “kuwa makini na matukio yao” baada ya wachezaji wa Sevilla kuomba radhi kwa kuvunja sheria za mikusanyiko.
Ever Banega, Lucas Ocampos, Franco Vazquez na Luuk de Jong walipigwa picha kwenye party wikiendi.
Spain wamepunguza ukali wa sheria za Lockdown, lakini mikusanyiko zaidi ya watu kumi bado imezuiwa.
“Wachezaji ni mfano kwa jamii lazima wawe makini kwenye matukio yao,” alisema Tebas. “Ninawataka wachezaji wote wasifanye hivi. Lazima tuwe makini sana kwa sababu ajira nyingi za watu zipi hatiani.”
Jumamosi, Waziri Mkuu wa Spanish, Pedro Sanchez alitoa ruhusa ya Ligi za juu mbili kuendelea Juni 8.
Wachezaji wa La Liga wameanza mazoezi ya vikundi visivyozidi 10 wiki iliyopita.
Mpira wa Miguu nchi Hispania ulisimamishwa tangu Machi 12 kwa sababu ya janga la Corona na Tebas amesema hatua inayofuata ni kuanza mazoezi kamili.
Carolyne
Laliga tunaisubiri
Ester mmakasa
Ni habari matata sana .
Theckla
Hakika itakuwa mechi nzuri na itakuwa ni faraja kwa walioadhirika na kufiwa na ndugu zao kwa maradhi ya corona
Gabriel
Habar njema sana# meridianbet
David pere
Watauwana kweli na ni game ngumu sana
Lombo
mambo n moto
Povel
Ni habar njema kwa wapenz was la liga thnks meridian bet kwa gud news
Antony Luseno
Wadau wanasubiri kwa hamu la liga
Magdalena
Tunaisubiri kwa matashititi yote laliga
Neema juma
Washabikii tunasubiria kwa hamu kweli
Hamidu
La Liga imerejea. Tulimiss maajabu ya messi#meridianbettz
winfrida
inapendeza sana
Genia Sikaluzwe
Ni habari njema kwa mashabiki wa mpira
Ernest
Tunasubiri kwa hamu laliga kutimua vumbi tenaaaa
mwakalosi
we still waiting….
SADICK
Hatimae mwanga unaonekana kwa mbaliiiiiiiii. La liga ni motooo! #meridianbettz
frank patrick
Tuombee mambo yasivurugike hapa kat kati
Lydia Emmanuel Magoti
Tunasubilia kwahamu laliga
Issa
Ni safi sana
Furahav
Nikweli corona bado ipo.