Real Madrid Bado Kuamua Hatma ya Martin Odegaard

Real Madrid wanaripotiwa kuwa bado hawajafanya maamuzi juu ya hatma ya nyota wao Martin Odegaard.

Nahodha huyu wa Norway amekuwa na msimu wake mzuri wa mkopo pale Arsenal, lakini Real Madrid wamekuwa wakiripotiwa kuwa wanataka kumjumuisha kwenye mipango ya kikosi chao cha msimu ujao 2021-22.

Hata hivyo, kwa mujibu wa AS, kuna mgogoro ndani ya mamlaka za Real ikiwa Odegaard anatakiwa auzwe au asalie klabuni hapo kuelekea msimu mpya.

Martin Odegaard Real Madrid

Ripoti zaidi zinasema kuwa kwa kuzingatia hali ya kiuchumi ya Real Madrid, kumuuza kunaweza kuwa maamuzi yanayotarajiwa zaidi, lakini pia nyota huyu anaonekana kuwa sehemu muhimu ya siku zijazo za Real Madrid, akishirikiana na Federico Valverde.

Odegaard amefunga magoli mawili, na kutoa usaidizi wa magoli 2 zaidi kwa ajili ya Arsenal kwa michuano yote kwa kipindi alichokuwepo Arsenal kwa mkopo.


BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.

Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.

tuchel, Tuchel :Tuna Bahati Tottenham Wametusaidia Kazi., Meridianbet

SOMA ZAIDI

3 Komentara

    Pochettino aje tu mana tunampokea kwa shangwe na vigele gele

    Jibu

    Ni hatari tupu

    Jibu

    Kazi ipo

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.