Klabu ya Real Madrid inatarajia kufanya hafla fupi ya kumuaga kapteni wa timu hiyo, Marcelo ambaye anatarajia kuondoka klabuni hapo baada ya kudumu kwa miaka 15 katika dimba la Santiago Bernabeu.

 

real madrid, Real Madrid Kumuaga Rasmi Marcelo Jumatatu., Meridianbet

Katika kurasa ya mitandao ya kijamii ya klabu imetoka taarifa ifuatayo;

Real Madrid C. F. inapenda kuwatangazia kuwa kesho Jumatatu tarehe 13 Juni, saa moja jioni (CEST), kutakuwa na hafla ya kitaasisi ya kumuaga nahodha wetu Marcelo kwenye Uwanja wa Real Madrid City, ambayo itaongozwa na rais wa klabu Florentino Pérez.”

Marcelo anaondoka ndani ya klabu hiyo akiwa ndiye mchezaji aliyetwaa mataji mengi zaidi ndani ya klabu hiyo zaidi ya mchezaji yeyote aliyewahi kuhudumu ndani ya klabu hiyo akiwa ametwaa mataji 25.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa