Real Madrid: Mkataba Mpya kwa Luka Modric

Klabu ya Real Madrid inaripotiwa kuwa wanajiandaa kumpatia Luka Modric ofa mpya ya mkataba wa mwaka mmoja zaidi na klabu hiyo.

Nyota huyu mwenye miaka 35, anatarajia kumaliza mkataba wake wa sasa msimu ujao wa joto. Staa huyu atakuwa huru kusaini makubaliano ya awali na klabu nyingine yeyote ya nje ya Hispania ifikapo mwezi Januari.

Modric alikuwa sehemu muhimu ya kikosi cha Madrid kwa msimu wa 2019-20 wa La Liga walipofanikiwa kutwaa taji. Kwa msimu huu, amecheza mechi tatu tu za ligi klabuni hapo.

Real Madrid Modric Ballon D'Or

Kwa mujibu wa vyanzo vya habari za michezo Hispania, Real Madrid wanafikiria kumpatia Modric mkataba mwingine utakaomuweka klabuni hapo hadi mwaka 2022.

Modric amewachezea Madrid jumla ya mechi 347 tangia alipojiunga na klabu hiyo kutokea Tottenham mwaka 2012, amefunga magoli 22 na kutoa asisti 55.

Kiungo huyu alicheza dakika zote za mechi za Croatia kwenye Ligi ya Mataifa UEFA dhidi ya Sweden na Ufaransa Oktoba 11 na Oktoba 14.


 

Unapenda kuwa shujaa?

Naam, hapa ni mahali pako! Kuwa shujaa kwenye sloti hii ya Samurai Ken ujishindie mkwanja na kujipa burudani murua. 

Cheza sasa 

Samurai Ken Online Casino

28 Komentara

    Kila lakheri Luka modric katika mkataba wako na real Madrid

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Hongera Luka

    Jibu

    Lila La kheri Luka modric mkataba utakao anzanao mpya mjembe

    Jibu

    Kila la kheri kwake

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Pongezi luka

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Bonge la dili kwa modric

    Jibu

    Hongera Sana kijana

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Modric fundi sana

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Moja ya viungo bora kabisa duniani hata ktk umri huo mkubwa bado ana mchango chanya kwa Taifa lake na Real Madrid

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    habar njema

    Jibu

    Modric Bado anafanya vizuri inapendeza kupata mkataba wa kuendelea kusalia madrid hapo atakapo maliza mkataba wake

    Jibu

    Modric amewachezea Madrid jumla ya mechi 347 tangia alipojiunga na klabu hiyo kutokea Tottenham mwaka 2012, amefunga magoli 22 na kutoa asisti 55

    Jibu

    kila la kheri

    Jibu

    Hbr njm

    Jibu

    kila la kheri modric

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Modric yupo vizuri japo kua umri wake ushamtupa mkono

    Jibu

    Imekaa poa sana 👍

    Jibu

    Modric ana uwezo mkubwa sana

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.