Mkufunzi wa Real Madrid, Zinedine Zidane amekuwa na msimu mbovu tangu aliporejea kuino timu hiyo na sasa ameeingiza timu katika rekodi mbovu zaidi katika UEFA.

Timu ambazo zimeshinda nyumbani na Ugenini Katika Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid

🇮🇹 Juventus (2008)
🇷🇺 CSKA Moscow (2018)
🇺🇦 Shakhtar Donetsk (2020)

 

Real Madrid na Rekodi Mbaya Chini ya Zidane.

Zinedine Zidane amepoteza michezo mingi ya #UCL ya hatua ya makundi (2) mnamo 2020/21 kama katika misimu yake Mitatu ya awali katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa akiwa meneja wa Madrid.

Madrid Sasa mguu mmoja ndani Europa League, mwingine ndani ya Champions League:

Mara ya mwisho Real Madrid ilishiriki Kombe la UEFA / Europa League ilikuwa mnamo 1994/95. Bahati itahitajika kuwa upande wao ili kuepuka kuangukia kwenye Europa League. Baada ya Madrid kufungwa 2-0, Kundi B lipo hivi.

🇩🇪 Gladbach (Mechi 5, 8 points)
🇺🇦 Shakhtar (Mechi 5, 7 points)
🇪🇸 Real Madrid (Mechi 5, 7 points)
🇮🇹 Inter (Mechi 5, 5 points)


FURAHIA MUZIKI MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Mchezo wa Astro Legend unakupatia burudani ya muziki kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

real madrid, Real Madrid na Rekodi Mbaya Chini ya Zidane., Meridianbet

INGIA MCHEZONI

27 MAONI

  1. Ukiangalia nadhani shida sio Zidane ni kikosi chenyewe, Zidane alijiwekea heshima kubwa sana lakini huenda ikasaulika haraka kuliko tulivyotarajia.

  2. Mara ya mwisho Real Madrid ilishiriki Kombe la UEFA / Europa League ilikuwa mnamo 1994/95. Bahati itahitajika kuwa upande wao ili kuepuka kuangukia kwenye Europa League. Baada

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa