Real Madrid Kumzawadia Vinicius Junior Mkataba Mpya

Real Madrid wanaripotiwa kuwa wapo tayari kufanya mazungumzo ya mkataba mpya wa Vinicius Junior kwa miezi ya hivi karibuni, huku miamba hao wa Uhispania wakimuona kama mcharo sana klabu hiyo.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 amekuwa akionesha kiwango kikubwa cha ubora pale Los Blancos k wa kampeni hii 2021-22, akifunga mabao tisa na asisti tano kwenye mechi 14 katika mashindano yote.

Vinicius bado amebakiza miaka minne kumaliza mkataba wake Bernabeu, lakini ripoti ya hivi majuzi zilidai kuwa Mbrazil huyo ni miongoni mwa wachezaji watano wanaolipwa mishahara midogo zaidi katika klabu hiyo licha ya umuhimu wake kwenye timu.

Real Madrid Kumzawadia Vinicius Junior Mkataba Mpya

Kwa mujibu wa mwandishi wa habari wa Kiitaliano Fabrizio Romano, Real Madrid wanajiandaa kufanya mazungumzo na mshambuliaji huyo kuhusu mkataba mpya, huku klabu hiyo ikiwa imedhamiria kusalia naye klabuni hapo.

Vinicius, ambaye anakadiriwa kukusanya kiasi cha €4m (£3.4m) kwa msimu kulingana na makataba wake wa sasa, alifunga goli 2 dhidi ya Elche Jumamosi, wakati vijana wa Carlo Ancelotti wakishinda 2-1 kwenye mchezo wa La Liga.

Mchezaji huyo raia wa Marekani Kusini amefunga mabao 23 na asisti 28 kwenye mechi 132 akiwa Real Madrid tangu ahamie kutoka Flamengo Julai 2018.


JIUNGE KWENYE SHINDANO LETU LA EXPANSE NA USHINDE!

Achana na ndoto za usingizini za kuokota burungutu la pesa, amkia upande wa ushindi halisi kutoka Meridanbet kwenye shindano la Expanse linalojumuisha michezo pendwa ya sloti za mtandaoni iliyopo kwenye promosheni ya Expanse kutoka Meridianbet.

JIUNGE KWENYE SHINDANO LETU LA EXPANSE NA USHINDE! Jinyakulie sehemu ya mgao wa Tsh 1,000,000 kupitia shindano la Sloti za Expanse🔥 Litakalo fika mwsiho Oktoba 31, 2021 saa 5:59:59 usiku‼ Bofya hapa Kujua zaidi

BOFYA HAPA KUJUA ZAIDI

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.