Klabu ya Real Madrid wanajiandaa kupeleka dau la €90m kwaajili ya kiungo wa Borussia Dortmund, Jude Bellingham.

Lakini mabingwa hao wa Spain na Ulaya hawataweza kumchukua mcheza huyo kwa sasa kutokana na kuvuka masharti ya robo ya wachezaji ambao ni si wa umoja wa ulaya.

 

real madrid, Real Madrid Waanda €90m Kwaajili ya Bellingham., Meridianbet

Real Madrid wanataka kukamilisha dili hilo katika msimu huu wa kiangazi kwaajili ya kiungo huyo wa Uingereza na kumjumuish akatika msimu wa 2023-24 kwa mkataba wa miaka 5 au 6.

Klabu kadhaa pia zimekuwa zinamuwinda kinda huyo mwenye miaka 18 ikiwemo Liverpool na Chelsea lakini Dortmund wameweka wazi hawawezi kumuuza katika majira haya ya kiangazi baada ya kuondoka kwa Haaland.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa