Real Madrid Wamgeukia Eduardo Camavinga

Stade Rennes wameweka dau la kumuuza kiungo wao, Eduardo Camavinga kuwa ni €50m huku tayari wakiwa wamepokea ofa kutoka kwa Real Madrid.

Madrid wanamtaka kiungo huyo mkabaji kwani anaonekana ni Ngolo Kante ajae huku akiwa amebakiza mkataba wa mwaka mmoja na Rennes hivyo miamba hiyo ya Hispania wapo kwenye nafasi nzuri ya kumnasa.

Eduardo Camavinga akichuana na Herrera

ia mnamo 2017 na kuwa Mfaransa mwenye umri wa miaka 17 anaonekana kama mmoja kati ya Wachezaji vijana wenye vipaji Barani Ulaya na anaripotiwa kuvivutia Vilabu Mbalimbali Vikubwa ulimwenguni.

Camavinga, ambaye licha ya Real Madrid kumuwimda kwa nguvu zote, Pia Barcelona, ​​Manchester City, Bayern Munich, Borussia Dortmund, Manchester United na Atletico Madrid walijiunga pamoja na Real kuwania Saini yake.

4 Komentara

    Fundi wa mpira

    Jibu

    Anajua.

    Jibu

    Madrid imchukue tu ili iimarishe safu ya viungo wao

    Jibu

    Yupo vizuri sana itakua vizuri Madrid wakiinasa sain yake

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.