Klabu ya Real Madrid imeendelea kuuonesha Ufalme wake wa Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kutwaa kombe hilo kwa kuifunga Liverpool goli 1-0 katika fainali, usiku wa kuamkia leo Mei 29, 2022.

Goli pekee la Vinícius Júnior katika dakika ya 59 lilitosha kuipa ubingwa Real Madrid ambapo hilo ni taji lao la 14 katika michuano hiyo wakati timu inayofuatia kwa kubeba kombe hilo mara nyingi.

 

real madrid, Real Madrid Yatwaa Ubingwa wa 14 UCL., Meridianbet

Nafasi ya pili kutwaa mataji mengi inashikiliwa na AC Milan ambayo imelibeba mara 7 wakati Liverpool yenyewe ikibeba kombe hilo mara 6.

2021/22 umekuwa msimu mzuri wa Real Madrid kwa kuwa imeumaliza vizuri ikiwa pia imebeba taji la Ligi Kuu ya Hispania (La Liga).

Liverpool imeshika nafasi ya pili UEFA na imemaliza ikiwa katika nafasi ya pili katika Ligi Kuu ya England ikiwa imefanikiwa kubeba kombe la FA na EFL.


SHINDA SAMSUNG A32 NA AVIATOR

SHINDA Samsung A32 ukiwa na mchezo wa Aviator kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet! Kwea pipa ukusanye zawadi zako pamoja na ushindi mnono wa mkwanja!

kasa wa njano, Kasa wa Njano Awapa Ubingwa wa CL Liverpool., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa