Rekodi hii ya miaka ya hivi karibuni ambayo inasubiriwa kwa hamu kuvunjwa ni ile iliyowekwa Mei 6, 2012 walipokutana miamba hiyo miwili ya soka nchini. Simba iliibuka na ushindi wa goli 5 kwa bila.

simba, Rekodi ya Simba Vs Yanga, Meridianbet

Katika mchezo huo uliokuwa wa kukamilisha ratiba kwani Simba walikuwa wametwaa ubingwa tayari waliweka rekodi ya kuifunga Yanga mabao 5-0 kwa mabao ya Okwi (×2), Sunzu, kipa Juma Kaseja na marehemu fundi Patrick Mafisango.

simba
Okwi

Kipigo hicho kilikuwa kikubwa kwa Yanga tangu walivyopigwa tena mabao 6-0, Julai 19, 1977, walipokuwa wakilipa kisasi cha kupigwa mabao 5-0 na Yanga kwenye mchezo wao uliochezwa Juni 1, 1968.


TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO

Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!

simba, Rekodi ya Simba Vs Yanga, Meridianbet

SOMA ZAIDI

7 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa