Richarlison 'Van Djik wa Kawaida tu"

Richarlison amesema kuna mabeki bora Duniani zaidi ya Virgil van Dijk na mshambuliaji huyo wa Everton amemkumbushia kuwa ni moja ya wachezaji waliokokota mpira na kumpita.

Thiago Silva na Sergio Ramos

Liverpool wapo karibu kutwaa ubingwa wa Premier League wikiendi hii, wakati ligi ikirejea pale watakapocheza dhidi ya wapinzani wao wa Merseyside pale Goodison Park Jumapili.

Van Dijk amekuwa mtu muhimu katika mafanikio ya msimu huu kwa Liverpool kwani ameiwezesha timu yake kukaribia kutwaa taji la Premier League

Lakini Richarlison haini kama Mholanzi huyo kuwa ndio bora kwenye nafasi huyo Duniani, nakusema kuwa Thiago Silva, Marquinhos na Sergio Ramos wote ni bora.

Thiago Silva na Marquinhos

Alipoulizwa kuhusu Van Dijk kwenye mahojiano, Richarlison alijibu: ‘Watu wanaongea sana kuhusu yeye, kweli ni beki mzuri, lakini niliwahi kukokota mpira na kumpita.

‘Alichaguliwa kama moja ya watatu bora Duniani, baada ya kuwa na msimu mzuri.

‘Lakini ndio, kwangu hao ndio mabeki bora.’

Alipoambiwa ataje mabeki bora Duniani zaidi ya Van Dijk, Richarlison alisema: ‘Thiago Silva, Marquinhos na Sergio Ramos.’

54 Komentara

    Naungana na @Richalson,Van ni beki wa kawaida sana sema ameikuta klabu ipo vizuri na Morali ya hali ya juu #meridianbettz

    Jibu

    good news

    Jibu

    Mchezaji wa kawaida sana huyo

    Jibu

    Ahsant meridian kwa taarifa

    Jibu

    Duuh huyu kweli Ana masihara van djk ni wa kawaida jamaa anatisha sanaa

    Jibu

    Kila m2 anamtazamo wake! Ila kwa sasa ndo beki bora next maguire #meridianbettz

    Jibu

    Ahsante meridianbet kwa taarifa nzur za michezo

    Jibu

    Richarlson nae kaishiwa maneno, mambo kama hayo inabidi waseme wakina messi au Rinaldo sio yeye mvunja kuni wa everton

    Jibu

    Ukisikia wivu ndio huu!! Ni wivu tu! Ni wivu tu!#meridianbettz

    Jibu

    Sio wivu hanauwwzo

    Jibu

    Sio wivu uwezo bado wa kawaida sana

    Jibu

    Yaani Hapa Richarlison kaonyesha wivu wa wazi wazi kabisa#Meridianbettz

    Jibu

    Viwango vyake bado sana hajitahidi tu

    Jibu

    Hahaha mtoto wa kibrazil anampa ukwel van dijk asijione yeye bek bora zaid ana pitika tuu sio kwa sabab msimu uliopita walichukua uefa na kuchukua tuzo ila bado sana kiwango chake Richarlison anampa ukweli wala sio wivu

    Jibu

    Wana Liverpool tunamshukuru sana van

    Jibu

    Kwa upande wa Ramos nampa big up kwan n baki ambaye ameonyesha maajabu makubwa akiwa Madrid na katika mechi za wachezaji wakubwa kama Messi ameonyesha juhud kuwa hawawezi kupita hivyo richarlion yuko sahihi na takwimu yake na van djik kwel ni wakawaida sana hivyo Hana maajabu sana

    Jibu

    Huyo ni beki wa kipekee akiwa uwanjani anajua kutimiza majukumu yake

    Jibu

    Ni kweli beki wa kawaida tu,hayuko vizuri kivile sana.

    Jibu

    Asante kwa makala#meridianbettz

    Jibu

    Wachezaji ugomvi wao uwa upo uwanjani ila wakiwa nje ya mpira wanaweka utofauti wao mbali

    Jibu

    Richarlison kaongea kweli maana van djik bado kinda sana na hana uwezo wakuwa beki bora kushinda miamba hii,thiago silva mbrazil mwenye ujuzi wa kukaba,sargio ramos mmbabe wa wababe na kulibali wa napoli hawa wamefanya mengi sanaa juu ya soka lao hivyo huwezi kuwalinganisha na van djik

    Jibu

    Kwa upande wa Ramos nampa big up ni beki aliyeonyesha maajabu#meridianbettz

    Jibu

    Huu ni mtazamo wake kama ameshaweza kuwapita kwa dk 1 tu anajisifu aeende huko anaweza kujifananisha na naomba hizo atulie tu na Everton yake

    Jibu

    Van dijk mbona yupo vizuri

    Jibu

    Van Dijk ni kisiki kweli sema nimependa confidance ya Richarlison nahisi atatekenya nyavu za Liverpool siku hiyo.

    Jibu

    Ni mtazamo wake Kila mmoja wetu hua anamtazamo wengi wetu tunaamini van dijik Ni beki bora duniani

    Jibu

    Dijik ni beki bora sanaaa

    Jibu

    Asante meridianbettz kwa taarifa

    Jibu

    Ni beki wa kawaida tyuu sema nini kakuta timu iko moto

    Jibu

    Ahsante Meridianbet kwa taarifa

    Jibu

    Mpo vizuri kwa taalifa mzuri..asantenii

    Jibu

    Hana maajabu yoyote

    Jibu

    Nikweli nibeki wakawaida tuu hayupo vizuli sana

    Jibu

    Ni mtazamo tu

    Jibu

    Van dijik ni beki Bora ulimwenguni katika soka la miguu tunaamini ivyo ila kwa maneno ya kishujaa ya richarlison yamewapa hamasa straker wengine kwamba ni wakawaida kabisa

    Jibu

    kwa sasa ndo beki bora next maguire #meridianbettz

    Jibu

    Beki kisiki

    Jibu

    Ni beki bomba sn

    Jibu

    Maoni:habar njema Sana

    Jibu

    Anajipenda kwa maneno, asubirie vitendo ndani ya uwanja. Vvd yuko vzr ELL #meridianbet

    Jibu

    Ni wivu tyu!

    Jibu

    Van ni beki mzuri sana

    Jibu

    Hana uwezo

    Jibu

    Mi simuelewagi kiukwel

    Jibu

    Sawa ni wakawaida ila uwanjani anafanya vizuri sana

    Jibu

    Asante meridianbet #kwa taarifa

    Jibu

    Siwez mpingah maono yake hayo

    Jibu

    Hana jipya uyo

    Jibu

    Ni wakawaida lkn Yuko njema uwanjani

    Jibu

    Huo ni ubinafsi tyuu mbn van dijik Yuko vzr pia ni beki bora sana

    Jibu

    Wana Liverpool tuseme sawaa kwan yeye tunamjua?

    Jibu

    Kawaida uwanjani anafanya vizur

    Jibu

    Ni beki mzur tu

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

Acha ujumbe