Viongozi wakuu wa Shirikisho la Soka Uturuki wanajiamini kuwa na uwezo wa kuwa wenyeji wa Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mwezi Agosti.
Nihat Ozdemir amesema nchi yao Ligi itaendelea kutoka Juni 12 na wanatarajia msimu kumalizika mwishoni mwa Julai.
Uwanja wa Ataturk Olympic Stadium uliopo Istanbul ilipangwa kuwa mwenyeji wa fainali mwaka huu, lakini mashindano hayo bado hayajakamilika baada ya kusimamishwa tangu Machi 23.

UEFA inaamini ligi za ndani zitaanza Juni, inawezekana kucheza mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya wakati huohuo. Lakini kuchelewa inamaana mechi za UEFA zitaanza baada ya Ligi za ndani kumalizika.
Hii inatoa uwezekano wa Ligi ya Mabingwa kuchezwa kama nusu shindano mwezi Agosti huko Istanbul.
Manchester City na Chelsea bado wapo Championship League, wakati Wolves, Manchester United na Rangers pia wapo Europa League.
Fainali ya Europa League iliyopangwa ichezwe huko Gdansk May 27 inaweza kuchezwa Jumatano, August 26.



SADICK
Tunasubiri kuona hilo linatokea. Asante kwa makala hii nzuri
Povel
Itakuwah vzr sana Jambo hlo likitokeah ngoja tusubir tuone
mwakalosi
Turkey wameshaanza mapema mandalizi na waliweza kumanage vizur maambukizi ya corona mpaka sasa wameweza kuruhusu mambo mengi kuendelea
Furahav
Itakuwa poa sana.
Elika
Subira yavuta kheri,ngoja tusubiri tuone
Asia Abdy
Tunataman hvyo pia Asante kwa kutujuza meridianbet
Lydia Emmanuel Magoti
Itakuwa poa sana
David Pere
Kama kawaida history unaenda kuandikwa Tena ndani ya isntabul
nasra
Hizi habari ni njema Sana
Emmy cleopa
Itakuwa vnzr sana, tunasubir sana
Warda
Wanajiweza hawa
Rehema
Itakuwa poa
Mwajuma
Asante kwa kutujuza merdian
Hamidu
Itakuwa poa.tumemiss kuona burudani
Lombo
saaaf
Adelta
Itakuwa POA sana
aisha
safi sana maana burudani tuliimic sana
Ester jackson
Asante meridian kwa habari
Gabriel
Itakuwa hatar sana 👍
Aziza mushi
Itakuwa vizuri Sana 👍