Robert Lewandowski Mchezaji wa Msimu Bundesliga

Nyota wa Bayern Munich Robert Lewandowski ashinda tuzo ya mchezaji bora wa msimu Bundesliga.

Msimu huu umekuwa na changamoto kwa klabu nyingi. Lakini Lewandowski amekuwa mchezaji wa kwanza kuona nyavu katika mechi 11 mfululizo za Bundesliga.

Nyota huyu kaona nyavu za kila timu ambayo inashiriki Bundesliga msimu huu, huku siku ya mechi ya 29 akiifunga Fortuna Dusseldorf kwa mara ya kwanza.

Akiwa amefikisha jumla ya magoli 33 ya Ligi ya Bundesliga anakuwa mchezaji anayeongoza kwa kucheka na nyavu. Hii inakuwa ni mara ya 4 kuongoza katika msimu mitano.

Winga wa Borrusia Dortmund, Jadon Sancho anachukua nafasi ya 2. Nyota Kai Havertz wa Bayer Leverkusen yeye amechukua nafasi ya tatu katika maamuzi ambayo yalishirikisha wadau na mashabiki.

Wachezaji wengine waliokuwa wanawania tuzo hii ni pamoja na Timo Werner, Amine Harit, Erling Haaland na Serge Gnabry. Lewandowski   alifanikiwa kuondoka na asilimia 50 ya kura.

Robert Lewandowski Mchezaji wa Msimu Bundesliga
Lewandowski


 

Unapenda kucheza Kasino ya Mtandaoni? Furahia Kasino ya Mtandaoni na Meridianbet

 

 

View this post on Instagram

 

Meridianbet Casino 🔥🔥🔥 Break Da Bank Again https://mrdn.co/AtSgG #BreakDaBankAgain #meridianbet #casino

A post shared by Meridianbet Tanzania (@meridianbettz) on

51 Komentara

    Habari njema hiyo

    Jibu

    Lewandowski yuko vizuri

    Jibu

    Natabiri Lewandowski kuchukua Ballon D’or msimu huu#meridianbettz

    Jibu

    Anaweza kufanya vyema na kuwa orodha ya wale bora zaidi, ushindani ni mkubwa!

    Jibu

    Hongera sana lewandowski kwa kuchukua tunzo ya uchezaji bora wa bundesliga

    Jibu

    gud news mambo ni moto

    Jibu

    Salute kwa Lewandowski, huyu jamaa anazeeka na makali yake.

    Jibu

    Asante meridianbet kwa habari moto

    Jibu

    Jamaa anastahili yuko vizuri

    Jibu

    Hongera kwa mpoland huyu kufanya vyema katika ligi ya bundesliga

    Jibu

    Hongera Robert Lewandowski.u deserve

    Jibu

    Anastail kwa kweli sio kwa juhudi zile#Meridianbettz

    Jibu

    Ahsant meridian kwa taarifa njema

    Jibu

    Anastahili

    Jibu

    Yuko fiti sana huyu mjamaa

    Jibu

    Pongezi nyingi kwake

    Jibu

    Habari njema hongera kwake

    Jibu

    Hongera kwake

    Jibu

    Hongera kwake

    Jibu

    good news

    Jibu

    Ulikuwa ni msimu mzuri kwake sana amekuwa na wastani mzuri sana wa magoli anapaswa kupewa tuzo

    Jibu

    Saluti kwa Robert Lewando huyu jamaha ana zeeka na kipaji chake

    Jibu

    Hongera kwake#meridianbettz

    Jibu

    Amestahili

    Jibu

    Amepambana sana hivyo anastahili hilo

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Huyu kijana jeshi.

    Jibu

    Robert lewandowski anastahil kupewa heshima hiyo ya mchezaji bora maana yuko vzur sana 👍
    # meridianbet Tanzania

    Jibu

    Robart lewandosk amestahilkuwa mchezaji Bora .kwasababu uwezo anao.siku zote anajituma Sana #meridianbettz

    Jibu

    Striker hatar sana tukimpata man u huyu vikombe tu

    Jibu

    Mchezaji mahiri anastahili..

    Jibu

    Good news meridianbettz

    Jibu

    Asante kwa kunijuza

    Jibu

    Hakuna kama yeye kwa ligi ya Ujerumani ni mtaalam wa kucheka na nyavu wote tunajua kazi yake utake usitake atajifungua tu maana mchizi yupo poa sana,kupewa mchezaji bora wasimu na bado atachukua mfungaji bora wa ligi ya Ujerumani Dah jamaa yupo poa sana

    Jibu

    pongezi kwake aNASTAHILI

    Jibu

    Hakika anastahili ilo

    Jibu

    R.lewandowski alistahili kua mchezaj bora wa msimu kwenye ligi ya ujeruman

    Jibu

    huyu atachukua mpaka atapoacha soka huko ujerumani

    Jibu

    Kwa upande wangu Mimi Robert akomba kila tuzo ulaya na duniani kwa ujumla

    Jibu

    Anastahili ilo hongera kwake

    Jibu

    Asante kwa makala nzuri.

    Jibu

    Makala poa

    Jibu

    Uyu jamaa anastaili Yuko vizuri

    Jibu

    Anastaili

    Jibu

    Huyu jamaa anazeeka na makili yake

    Jibu

    Robert lewandowski hanastaili pongezi yupo vizuri sana

    Jibu

    Maoni:kijana yupo vizur

    Jibu

    Robert lewandoski anastahili ni mpambanaji Sana

    Jibu

    Hilo lilijulikana mapema tu

    Jibu

    Ahsante kwa taarifa

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

Acha ujumbe