Klabu ya Serie A, Roma, wanaripotiwa kuwa katika mazungumzo ya kumsajili kiungo wa Arsenal Granit Xhaka katika dirisha hili la usajili la majira ya kiangazi.

Kocha wa zamani wa Tottenham Hotspur, Jose Mourinho ansaka kuimarisha kikosi chake kabla ya msimu mpya na amemtambua mchezaji huyo wa miaka 28 kama mtu anayeweza kuzingatiwa zaidi.

Kwa mujibu wa Sky Sports News, Washika bunduki wanamthamini Xhaka kwa karibu pauni milioni 21.5, hata hivyo Roma wako tayari kulipa hadi pauni milioni 10 pamoja na bonasi.

Granit Xhaka
Granit Xhaka

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uswizi alikaribia kuondoka Emirates na kujiunga na Hertha Berlin ya Bundesliga mnamo Januari 2020, hata hivyo kiungo huyo aliamua kusalia kaskazini mwa London.

Kocha mkuu wa Arsenal Mikel Arteta angefikiria kumruhusu Xhaka aondoke msimu huu wa joto, kwani kilabu inatafuta fedha kwa mauzo ya wachezaji ili kupata nyongeza mpya ya wachezaji wapya.

Xhaka amecheza mara 220 kwa Washika bunduki wakati kwa miaka mitano, pamoja na mechi 45 za mashindano yote ya kampeni hii.


BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.

Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.

tuchel, Tuchel :Tuna Bahati Tottenham Wametusaidia Kazi., Meridianbet

SOMA ZAIDI

4 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa