Roma Waunga Tela kwa Joao Pedro

Klabu ya Roma imeripotiwa kuwa imeunga tela kuisaka saini ya mshambuliaji wa Cagliari Joao Pedro.

Nyota huyu Mbrazili ameweza kupeta zaidi baada ya kutokuwepo kwa Leonardo Pavolletti msimu huu na amezivutia klabu nyingi kutokana na utendaji wake kwenye nusu ya msimu wa Serie A 2019/20.

Staa huyu mwenye miaka 28 amecheka na nyavu mara 16 kwenye ligi. Klabu kadhaa, kwa mujibu wa Corrie dello Sport, zinajaribu kuinasa saini yake.

Klabu ya Chelsea pia kutoka Primia, wanatajwa kuwepo kwenye sandakalawe ya kumpata staa huyu. Klabu zingine zinazomfukuzia ni Atalanta, Bologna, Fiorentina, na Torino

Mkataba wa sasa wa Pedro unaisha Juni 2023. Wakati huo Cagliari wanasemekana kuwa wanapania kupambana staa huyu asiende popote.

Roma Waunga Tela kwa Joao Pedro
Joao Pedro

40 Komentara

    Kijana hatar sana huyu

    Jibu

    Yuko vizur watu wapande madau

    Jibu

    Mchezaji mzuri

    Jibu

    Kwa umri wa 28 ana muda mfupi wa kucheza soka, sidhani kama kuna Club yenye mipango endelevu inang’ang’ania sana mchezaji mzee #Meridianbettz

    Jibu

    Ahsanteni meridian kwa taarifa

    Jibu

    Good news πŸ‘#meridianbettz

    Jibu

    Ni mxhezaji mzuri Ndio maana nao wanamfukuzia

    Jibu

    ni mchezaji mzur itakuwa deal zuri kwa roma

    Jibu

    habar mzur

    Jibu

    Yuko vizuri kijana.

    Jibu

    Ni mchezaji mzuri sn

    Jibu

    Ni mchezaji mzuri sana

    Jibu

    Thanks for the update #meridianbettz

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Pedro yupo vizuri Sana

    Jibu

    Kwa umri wa 28 ana muda mfupi wa kucheza soka, sidhani kama kuna Club yenye mipango endelevu inang’ang’ania Bora asalie kweny timu yake #meridianbettz

    Jibu

    Ni mchezaji mzuri sana

    Jibu

    Wapambane wampate

    Jibu

    Ni habar njema kwake kila la kheri Kama atafanikiwah thanks meridian kwa update

    Jibu

    Sidhani kama atakuwa na moyo wa kubaki Cagriali kama ikitokea team kama chelsea ikimuwekea mkazo wa kumuhitaji

    Jibu

    Wapambane wampate

    Jibu

    Kijanaa makini sana

    Jibu

    Ni mshambuliaji mzuri .. # meridianbettz.

    Jibu

    Asante meridianbet #kwa taarifa

    Jibu

    Yupo vizuri kijana anajua

    Jibu

    Kijana Yuko poa Sana

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Mchezaji mzr sana#meridianbettz

    Jibu

    Roma wakifanikiwa kumpata itakuwa poa sana

    Jibu

    Mchezaji mzuri wakimpata itakua bombaa

    Jibu

    Yupo vizuri

    Jibu

    Jamaaa anapiga kazi sio kitoto

    Jibu

    Wamtafute wa umri mdogo kwasababu ana mda mchache ukilinganisha na umri wake tayari umeshaenda.

    Jibu

    ni mchezaji mzuri itakua bomba Roma wakimpata

    Jibu

    Wamchukue tu yuko vzuri

    Jibu

    Mchezaji mzri

    Jibu

    Jamaa Yuko vizuri

    Jibu

    Taarifa nzuri ahsanteni meridianbet

    Jibu

    Yuko vizuri

    Jibu

    Ni mtu poa

    Jibu

Acha ujumbe