Roman Abramovich ameripotiwa kuwa anafikilia kuiuza klabu ya Chelsea kwa faida kubwa kutokana na msukumo anaoupata baada ya nchi ya Urusi kuivamia nchi ya Ukraine

Baada ya kuiweka klabu hiyo chini ya uangalizi wa bodi ya wadhamini na sasa ameamua kuiweka sokoni, huku ikilipotiwa kuwa Roman Abramovich anataka kuiuza klabu hiyo kwa kiasi cha £2bilioni, na yeye akikadiliwa kuweka kibindoni kiasi cha £1.5bilion endapo deal hilo litafanikiwa.

Roman Abramovich, Roman Abramovich Kuiweka Sokoni Klabu ya Chelsea, Meridianbet

Billionaire kutoka uswiss Hansjorg Wyss, ameripoti kupewa offa ya kuuziwa klabu hiyo, huku akidai kuwa miliki wa klabu hiyo, anahitaji kuiuza kwa pesa nyingi sana, huku yeye Hansjorg Wyss akihitaji kuwa sehemu ya wanahisa wa klabu hiyo alinukuliwa akisema.

“Unajua, Roman Abramovich anataka kuiuza Chelsea kwa £2billion, lakini chelsea haina pesa, kwa sasa, hatujui thamani halisi ya kuinunua klabu hiyo, ila naweza kufikilia kuanza kushirikiana na klabu hiyo.

“Lakini inabidi nianze kuichunguza msharti yake kwanza, lakini ninachoweza kusema, siwezi kufanya kitu kama hichi peke yangu, ikiwa nainuna Chelsea, basi itakuwa na ushirikiano kati ya wawekezaji sita mpaka saba.”  Aliongezea Hansjorg Wyss

Roman Abramovich pia anataka kuiza nyumba yake ya kifahari nchini Uingereza.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa