Ronaldo Adaiwa Kukiuka Taratibu za Covid 19.


Waziri wa michezo wa Italia, Vincenzo Spadafora, amesema kuwa uchunguzi umeanzishwa juu ya Cristiano Ronaldo.

Nyota huyo wa Juventus alikwea pipa na kurejea nchini Italia ili hali aligundulika kuwa na maambukizi ya virusi vya korona wakati akiwa kwenye majukumu ya kuitumikia timu yake ya taifa, Ureno takribani majuma mawili yaliyopita.

 

Ronaldo Adaiwa Kukiuka Taratibu za Covid 19.

Ronaldo amekuwa akijifungia nyumbani kwake mjini Turin tangu agundulike ana Covid-19 hivyo kupelekea kuukosa mtanange dhidi ya Crotone na ule dhidi ya Dynamo Kiev siku ya Jumanne.

Spadafora alishika vichwa vya habari baada ya kukemea kitendo cha Ronaldo kurejea nchini Italia, akidai kuwa hakuheshimu taratibu zilizowekwa na mamlaka za afya.

Ronaldo kusikia hivyo akajibu kwa kupitia ‘Instagram live video’ akiwa karantini akidai kuwa taarifa hizo zinazomdai kakiuka taratibu za mamlaka ya afya ni za uongo.

 

Ronaldo Adaiwa Kukiuka Taratibu za Covid 19.

“Ninaheshimu taratibu na kanuni zilizowekwa, hamna nilipokiuka, kama ilivyosemekana; wote huo ni uongo,”

”Nilirejea kutoka Ureno mara baada ya timu yangu na mimi kujiridhisha kuwa taratibu zote za msingi zimefuatwa. Nimerejea Italia kwa ‘Air ambulance🛫’ na sijakutana na mtu yeyote, hata hapa Turin”.


TSH.160,000,000 KUSHINDANIWA!

Tunazungumzia mkwanja wa Tshs.160,000,000! Kupitia Kasino ya Mtandaonii ya Meridianbet unaweza kuwa milionea wakati wowote.

Meridianbet Casino

Kamata Mkwanja wako HAPA🤑

23 Komentara

    Jamani wanataka kumchafua tu ,daa sio poa

    Jibu

    Dhuu sasa itakuwaje kama mwenyewe Ronaldo anakanusha sio kweli

    Jibu

    Kwan we wazir ulitakaje sasa mtu pesa ipo acha ajiuguze mwenyewe anavyoweza

    Jibu

    Hapo itakuaje??

    Jibu

    Daah sio poa kabisa hii wanataka kumualibia tu Ronaldo

    Jibu

    Daah sio poa

    Jibu

    Hizi ni changamo za Corona

    Jibu

    Corona sio poa

    Jibu

    Corona inaleta kuzaazaa

    Jibu

    Duuuh ugonjwa huu

    Jibu

    Sio poa

    Jibu

    Coronaa inaletaa majangaa zaidi

    Jibu

    Dah

    Jibu

    Sheria ifuate mkondo wake hapo

    Jibu

    Cr afate mashart

    Jibu

    Dah CR7 tulia basi mambo yakae sawa upone

    Jibu

    Afate masharati

    Jibu

    Corona inaleta Mambo meusi.

    Jibu

    Ronaldo amekuwa akijifungia nyumbani kwake mjini Turin tangu agundulike ana Covid-19 hivyo kupelekea kuukosa mtanange dhidi ya Crotone na ule dhidi ya Dynamo Kiev siku ya Jumanne.

    Jibu

    Daah sio poa

    Jibu

    Corona imeleta majanga

    Jibu

    ni vizuri vigezo na masharti kuzingatiwa usalama ndio kitu kizuri maana huu ugonjwa ni hatari sana

    Jibu

    Duu changamoto za gonjwa la Corona hizi

    Jibu

Acha ujumbe