Ronaldo Aelekeza Taji kwa Mashabiki

Cristiano Ronaldo ameelekeza ushindi wa Juventus wa taji la Serie A kwa mashabiki wa klabu hiyo, hili ni taji la tisa mfululizo kwa Juventus.

Ronaldo alifunga goli moja katika gemu dhidi ya Sampodoria ambayo iliwahakikishia ushindi wa taji wakiwa na mechi mbili zilizosalia. Mechi hii waliyoshinda bao 2-0, CR7 alikosa penati kabla ya Federico Bernardeschi kucheka na nyabu kukamilisha goli mbili wakiibuka kidedea kama mabingwa wa Italia.

Juventus wanaendelea kutawala ligi ya Italia, huku Ronaldo akitaja kuwa anafurahia kuwa sehemu ya safari hii ya mabingwa wakati juventus wakiendelea kujijengea historia ya ushindi na utawala wa ligi Italia.

Ronaldo Juventus

CR7 ambaye sasa amefikisha magoli 35 kwa klabu ya Juventus, aliamua kutoa heshima ya taji hili kwa mashabiki wa Juventus

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Ronaldo aliandika;

“Imeisha hiyo! Mabingwa wa Italia,”

“Kwa mara nyingine tena ushindi wa pili mfululizo na kuendelea kujenga historia ya timu kubwa na bora.

“Taji hili linaelekezwa kwa mashabiki wa Juve wote, hasa wale waliokumbana na walioathirika na wanaoathirika na changamoto ya janga lililokuja kwetu kama ghafla na kuubadilisha ulimwengu”

Ronaldo anasisitiza kuwa haikuwa rahisi kupambana hasa kutokana na mabadiliko ya ghafla, ilihitaji nguvu na ujasiri wa hali ya juu na anafurahi kuwa wanafika mwisho na taji hilo ni mali ya wana Italia wote.

 


 

Nini kinachokupa raha kama michezo ya kasino ya mtandaoni? Hasa unapojua kuwa kuna ushindi, jackpot na mizunguko kibao ya bure.
Ungana na bwana Meridian kupata ushindi na burudani.

Cheza Hapa Sasa

 

 

 

40 Komentara

    Juhudi Binafsi za CR7 na mchango wa wachezaji wengine wameifanya Juventus kunyakua ubingwa na kuendeleza kuweka Historia, Bravo Juventus!!!

    Jibu

    Safi sana Cr7kwa juhudi zako#meridianbettz

    Jibu

    Umesema vyema CR7

    Jibu

    pongezi ziwafikie wote bila kusahau mashabiki wa juve na Ronald pia

    Jibu

    Safii sana Ronaldo huo ndio ubinadamu ukipata kula na wezako umeonyesha kuwa mpo pamoja hata kama mlipitia magumu katika kipindi cha corona bado mlipambana kwa pamoja kupata ubigwa huu inawafanya mashabiki watambue kuwa bado mnaimani nao hata kama wapo uwanjani wachache wanao wakilisha wengine kwenye safari ya ubigwa mko pamoja nao wote mashabiki ## meridianbettz

    Jibu

    Safii Sana kwajudi zako Cr7

    Jibu

    Uko vizur cr7

    Jibu

    Hongera sana cr7

    Jibu

    Waitaliano huamini mchezaji anapokuwa na umri kuanzia miaka 28 anakuwa bora zaidi. Jambo la kufurahisha ktk umri wa miaka 35 anakuwa mfungaji bora. Kikosi cha Juventus kinahitaji kuongezewa nguvu kuendeleza utawala wake SERIE A na Ulaya kwa ujumla#meridianbettz

    Jibu

    Hongera Sana Ronaldo na club nzima ya Juventus

    Jibu

    Hongera cr7 kazi nzuri umefanya

    Jibu

    Hongera sana Ronaldo na club nzima na pia pongezi nyingi ziwafikie huko mliko

    Jibu

    Pongezi kwake na team yake

    Jibu

    Namkubali sana cr7 anajua sana#Meridianbettz

    Jibu

    hongera sana CR7

    Jibu

    Hongera sana CR7

    Jibu

    Pongezi kwake Ronaldo

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Safi sana Ronald

    Jibu

    Cr7 jesh namkubali sana

    Jibu

    Pongezi kwa CR7

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Hongera CR7.

    Jibu

    That’s why I like CR7

    Jibu

    Ni noma sana

    Jibu

    Hongera kwao

    Jibu

    Congoree cr7

    Jibu

    Safi Sana.

    Jibu

    Cr7 ni nomaaa

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Christian Ronaldo ni mchezaji mwenye kujitoa sana kwa timu na mashabiki wake

    Jibu

    Hongera Sana Ronaldo.

    Jibu

    safi sana ronaldo

    Jibu

    Mnyama CR7#Meridianbettz

    Jibu

    Heshima iyo ronaldo

    Jibu

    Ni jambo la heshima kwa mashabiki kutambua mchango wao clubuni hapo.

    Jibu

    Safi sana cr7 mnyama

    Jibu

    Ongera sana cr 7 maana bila mashabiki we si kitu

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Ni vizuri sanaa

    Jibu

Acha ujumbe