Mshambuliaji wa Ureno na Klabu ya Juventus, Cristiano Ronaldo ameendeleza rekodi katika klabu alizowahi kucheza katika maisha yake ya soka.
Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza katika historia ya mchezo wa mpira wa miguu kufunga magoli 100+ akiwa na vilabu vitatu tofauti, na katika nchi tatu tofauti na pia kufunga zaidi ya mabao hayo katika timu ya taifa.
🇮🇹 Juventus: 100
🇪🇸 Real Madrid: 450
🏴 Man Utd: 118
🇵🇹 Portugal: 103
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Lucky Lucky na uwe moja ya washindi na Mabingwa.
Jamaa hatali sana huyu
Ni balaa
Cr7 mnyama yupo vizuri
Cr7 yupo vizuri
Duuuh
Cr7 ni moto wa kuotea mbali
Yuko vizuri.
Kijana Yuko makini Sana uwanjani
Rekodi ya kibabe
Safi
Safi
Safii