Ronaldo Aibiwa Akiitumikia Timu ya Taifa.


Nyumba inayomilikiwa na Cristiano Ronaldo, 35, mjini Madeira, Ureno lilivamiwa na mhalifu aliyeiba bidhaa za thamani isiyojulikana usiku wa Oktoba 7, 2020.

Nyumba hiyo ilivamiwa na kuibiwa wakati Mchezaji huyo alipokuwa ameelekea kukitumukia kikosi cha timu ya taifa katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Uhispania.

 

Ronaldo Aibiwa Akiitumikia Timu ya Taifa.

Mchumba wa Ronaldo, Georgina Rodriguez, hakuwepo katika mjengo huo wenye thamani ya £7 milioni kwa sababu alikuwa akishiriki hafla ya uanamitindo na fasheni jijini Paris, Ufaransa.

Kwa mujibu wa gazeti la Diario de Noticias Madeira, watoto wa Ronaldo walikuwa wameachwa chini ya uangalizi wa mama yake, Dolores Aveiro.

 

Ronaldo Aibiwa Akiitumikia Timu ya Taifa.

Dolores, 65, anaishi na wanawe wengine watatu – Elma, Katia na Hugo katika mtaa wa kifahari wa Funchal, mbali kidogo na eneo la Madeira.

Kati ya bidhaa za Ronaldo zilizoibiwa ni jezi za kikosi cha Juventus inayoshiriki soka ya Ligi Kuu ya Italia (Serie A).


Weka Pesa kwa Airtel Money!

Sasa unaweza kuweka pesa moja kwa moja kwenye akunti yako ya Meridianbet kwa kutumia mtandao wa Airtel. Usipate wasi wasi, tunaifanya kazi kuwa rahisi zaidi!

Soma Zaidi

 

36 Komentara

    hao wezi wakikamatwa wanabidi wawajibishwa sana

    Jibu

    Pole Sana Ronaldo wezi si watu wazuri

    Jibu

    Hinakuaje star kama Ronaldo hasiwe na walizi kwenye nyumba yake hata camera pia

    Jibu

    Wezi Awana mahana mtu Kama Ronaldo jina kubwa kwanini asiwe nabodi gadi kwann wakati pesa

    Jibu

    Ulinzi mdogo

    Jibu

    Ulinzi uimarishwe jamani

    Jibu

    Pole Sana Ronald inabidi kuongeza ulinzi

    Jibu

    Wezi sio watu wazuri

    Jibu

    Ulinzi hauko makini

    Jibu

    Ulinz c mzr

    Jibu

    Pole yake ronaldo jumba kubwa kama hilo unakosekanaje ulinzi wa uhakika

    Jibu

    Duuh majanga ayo pole sana Ronaldo

    Jibu

    ina maana walinzi hawakuwepo…?

    Jibu

    Walinz una kwani ronald

    Jibu

    Ni shida sana

    Jibu

    Watu wanapambana na hali zao

    Jibu

    Mbona majanga

    Jibu

    Pole Cr7

    Jibu

    Ni shida sana

    Jibu

    Duuu nomaaa

    Jibu

    Majanga hayo

    Jibu

    Atanunua vingine pesa ipo

    Jibu

    hatar

    Jibu

    Mlinzi uimarishwe

    Jibu

    Pole sana Ronaldo

    Jibu

    Cr 7 dah vibaka wameharibu tena

    Jibu

    Duh majanga kwl

    Jibu

    Ndo maana wanauliwa tu

    Jibu

    Hinakuaje star kama Ronaldo hasiwe na walizi kwenye nyumba yake hata camera pia

    Jibu

    Hatari

    Jibu

    Duuh pole sana Ronaldo wamekuvizia

    Jibu

    Duuh wamemwinia super ster shuhuli wanayo wakikamatwa

    Jibu

    Acha nao wajipooze bn

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    MUNGU atamlipa asijal

    Jibu

    Duuu sio poa

    Jibu

Acha ujumbe