Ronaldo Hatihati Kuwakosa Barcelona UCL.


Leo Siku 10 za Ronaldo kukaa karantini zinaisha na atafanyiwa vipimo kwa mara nyingine tena (3).

Vipimo vilivyotoka wiki iliyopita aliyopima kwa mara ya pili vilimfanya Ronaldo kukosa mchezo wa kwanza wa makundi wa UCL baada ya kukutwa na maambukizi ya Covid-19.

 

Ronaldo Hatihati Kuwakosa Barcelona UCL.

Endapo atapatikana na maambukizi ya Covid-19 kwa mara nyingine tena ataukosa mtanange wa UCL dhidi ya Barcelona utakaopigwa wiki ijayo mjini Turin.

Matumaini pekee yaliyobakia kwa Juventus ni kuomba kuwa Ronaldo akutwe bila maambukizi masaa 24 kabla ya mchezo huo ili aweze kuruhusiwa kucheza.

Kukidhi vigezo vya kucheza mchezo wa UCL dhidi ya Barcelona, itabidi athibitike kuwa amepona Corona katika muda wa masaa 24 kabla ya Mechi.


Ondoka na Mkwanja Kwenye Tsh. 160,000,000

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu.

Soma Zaidi

26 Komentara

    Jamaniiiii ! Ngoja tusubiri tuone majibu

    Jibu

    mungu amtetee awe tu salama maana huu ugonjwa umekuwa tishio sana

    Jibu

    ni vizuri haangaliwe afya yake kwa umakini ili hiwe tahazari kwa wachezaji wenziwe asichukuliwe kama star tu maana huu ugonjwa ni hatari vigezo na mashart vizingatiwe

    Jibu

    ni vizuri angeangaliwa afya yake kwa humakini ili hiwe taadhari kwa wachezaji wenziwe asichukuliwe kama star tu iligonjwa ni hatari sana

    Jibu

    Dah pole sana ronaldo

    Jibu

    Mungu amsaidie aweze kurudi dimbani kwenye mechi dhidi ya barca

    Jibu

    Pole sana Ronaldo

    Jibu

    Duu sio poa pole yake

    Jibu

    Mungu amsaidie akutwe Negative ili akashiriki na wenzie katikat mchezo unaofuata

    Jibu

    Mungu atamsaidia atarejea kwenye nafasi yake

    Jibu

    Duh pole sana

    Jibu

    Asnt kwa taarif meridianbet

    Jibu

    Duuh majanga ayo ila pole sana cr7

    Jibu

    Atakua sawa tu na atakipga kama kawa

    Jibu

    Pengo kubwa sana

    Jibu

    Pole kijana

    Jibu

    Ni her kwa barcelona

    Jibu

    Pengo kubwa sana kwa juventus Kama hatakosa mchezo huo

    Jibu

    Itakuwa sio poa jamani

    Jibu

    Pole sana kijana

    Jibu

    Pole sana Ronaldo

    Jibu

    Pole yake cr7 huu covid 19 imekuwa tishio baya duniani ,pengo kubwa kwa Juventus endapo atakosa mchezo furaha kwa Barca nadhan wanamhofia Sana cr7.

    Jibu

    Pengo lisilozibika

    Jibu

    mwenyezi mungu atampa taafifu

    Jibu

    Duuh pole

    Jibu

    Pole sana star wa mpira

    Jibu

Acha ujumbe