Ronaldo Hauzwi! na Klabu ya Manchester United inatarajia mshambuliaji huyo atasalia Old Trafford, licha ya taarifa mbalimbali kumuhusisha na kujiunga na Chelsea.

 

ronaldo, Ronaldo Hauzwi, Usidanganywe na Matapeli., Meridianbet

Manchester United wameshindwa kufuzu kucheza ligi ya mabingwa msimu ujao ukijumlisha na kusindwa kufanya usajili katika dirisha hili la kiangazi inaweza kumshawishi kuondoka.

Mmiliki mpya wa klabu ya Chelsea, Todd Boehly amekutana na Jorge Mendes ambaye ni Wakala wa Cristiano Ronaldo ikidaiwa wamezungumza kuhusu usajili wa mshambuliaji huyo raia wa Ureno.

Inaelezwa walikutana wiki iliyopita na mazungmzo yanaendelea. Mkataba wa Ronaldo ndani ya United umebaki mwaka mmoja, klabu hiyo ina nia ya kuendelea naye lakini kumekuwa na taarifa kuwa anaweza kuondoka kama hakutakuwa na usajili mzuri.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa