Ronaldo Mfungaji Bora Ulaya Mwaka 2020.


Cristiano Ronaldo wa Juventus ndiye mfungaji bora kwenye ligi kubwa barani Ulaya kwa mwaka 2020.

Cristiano amekuwa mfungaji bora wa ligi huku akiwa na magoli 33 ya Serie A, lakini Robert Lewandowski ana magoli 45 katika mashindano yote huku Ronaldo akiwa na magoli 41.

 

Washambuliaji hao wote wa Ureno na Poland kwenye michezo ya wikiendi walitupia goli 2 kila mmoja.

Cr7 ana magoli 33 katika mwaka 2020 ikiwa ni goli 1 zaidi ya Lewandowski ambaye hatoweza kumkuta kwa sababu hana mchezo mwingine wowote kwa mwaka huu wa 2020 huku Juventus ikicheza Fiorentina Jumanne kabla ya likizo ya Krismasi.

Cs Cartagines’ Marcel Hernandez ana magoli 30 hivyo anashika nafasi ya 3 kwa mwaka 2020. Ciro Immobile wa Lazio anashika nafasi ya 7 akiwa na magoli 26.

Ronaldo ni wa pili nyuma ya Robert Lewandowski kwa magoli katika mashindano yote mwaka huu lakini nyota huyo wa Poland ana magoli 45 huku Ronaldo ana 41 na nafasi ya 3 inashikiliwa na mshambuliaji wa Inter Milan, Romelu Lukaku mwenye magoli 34, goli moja zaidi ya mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Erling Haaland.


VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???

SOMA ZAIDI

18 Komentara

    Cr moto sana

    Jibu

    Yupo juu Cr

    Jibu

    Ronaldo mtu mbaya

    Jibu

    Ongera san Ronaldo

    Jibu

    Hongera kwake

    Jibu

    Ronaldo mtu makini

    Jibu

    Ronaldo is the best..

    Jibu

    Mnyama Cr7 amestahili kupata hiyo tunzo

    Jibu

    Congrats to u

    Jibu

    Ronald Yuko vizuri

    Jibu

    Big up

    Jibu

    He dissolve

    Jibu

    Hongera yake Ronaldo

    Jibu

    Washambuliaji hao wote wa Ureno na Poland kwenye michezo ya wikiendi walitupia goli 2 kila mmoja.

    Jibu

    Pongezi sana kwake

    Jibu

    Ronaldo mtu mbaya

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Ronaldo hanaga show mbovu

    Jibu

Acha ujumbe