Mchezaji wa zamani wa Manchester United na Kocha wa muda wa Derby County, Wayne Rooney anamatumaini kupata nafasi ya kuwa kocha mkuu wa Derby moja kwa moja.

Tetesi za hivi karibuni zinasema timu hiyo ilikuwa inamfwatilia mchezaji mweza wa zamani wa England John Terry kutua uwanjani Pride Park.

 

rooney, Rooney Aitaka Kazi ya Derby., Meridianbet

Rooney ambaye alijiunga na timu hiyo mapema msimu huu kama kocha mchezaji akitokea DC united, amechukua nafasi ya kukinoa kikosi hicho kwa muda baada ya kocha mkuu Phillip Cocu kufukuzwa mwezi uliopita.

Wayne amefanikiwa kukiongoza kikosi hicho katika michezo 4 na kufanikiwa kutoka sare katika michezo 2 na kupoteza 2 huku timu hiyo ikishika mkia katika Ligi ya Championship.


FURAHIA MUZIKI MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Mchezo wa Astro Legend unakupatia burudani ya muziki kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

rooney, Rooney Aitaka Kazi ya Derby., Meridianbet

INGIA MCHEZONI

23 MAONI

  1. Timu nyingi zinaajiri wachezaji waliostaafu hivi karibuni kuwa makocha,ni kizazi kipya na mbinu mpya. Bado hana CV nzuri kuwa Kocha wa kudumu

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa