Rooney: Ningemchagua Pochettino

Mada kuu kwa Manchester United sasa hivi ni kocha mpya. Rangnick amebakiza michezo 8 tu kuachia ngazi, Wayne Rooney anayake ya kusema.

Kwa hali ilivyo mpaka sasa, hakuna mwenye uhakika wa kupata kibarua kule Old Trafford kati ya Erik Ten Hag na Mauricio Pochettino licha ya kuwa ndio makocha wawili wanaohusishwa zaidi.

Wapo wanaomsapoti Ten Hag lakini, wapo pia wanaomsapoti Pochettino hasa kwa uzoefu wake wa kuiongoza vilabu vya EPL ambayo inatajwa kama ligi nguvu barani Ulaya.

United

Rooney anaungana na wanaomsapoti Poch akiamini kuwa, kocha huyu atakua ni chaguo sahihi zaidi kwa United kama watampatia nafasi ya kuiongoza timu hiyo. Kitu kikubwa kwa Wazza ni uzoefu wa Poch ndani ya ligi hii lakini pia, uwezo wake wa kuibua vipaji kama kina Harry Kane, Luke Shaw, Sadio Mane, Delle Ali na wengine wengi ambao ni matunda ya aina yake ya ukocha.

Kete yako ya kocha mpya wa Manchester United unaiweka kwa ?

  • Erik Ten Hag
  • Mauricio Pochettino

3500 NI YAKO UKIJIUNGA TU MERIDIANBET!

Una nafasi ya kupata bonasi ya shilingi 3500 kwa ajili ya kuanza safari yako ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Kubeti Poa - Bonasi Kubwa

Jisajili sasa

Acha ujumbe