Mcheza Tenisi namba nane kwa ubora duniani wa Urusi, Andrey Rublev amesema uamuzi wa kufungia wachezaji wa Urusi na Belarus kushiriki mashindano ya Wimbledon mwaka huu ni ubaguzi wa dhahiri.

Vilabu vyote vya Tenisi nchini Uingereza vimezuia wachezaji wote wa Urusi na Belarus kushiriki kutokana na Ukraine kuvamiwa na Urusi hivi karibuni.

 

Rublev, Rublev : Kufungiwa Wimbledon ni Ubaguzi., Meridianbet

Mchezaji namba 8 kwa ubora duniani, Andrey Rublev na mwenzie namba mbili kwa ubora duniani, Daniil Medvedev ni moja ya majina makubwa yatakayokosa kushiriki katika mashindano ya Wimbledon mwaka huu.

Mchezaji wa Tenisi namba moja wa dunia, Novak Djokovic alisema uamuzi huo ni “uchizi” na sasa Rublev akisema maamuzi hayo “hayana mashiko”.

Rublev pia ameshauri zawadi zote zitakazo patikana katika mashindano ya Wimbledon ya mwaka huu zitolewe kwaajili ya kusaidi nchi ya Ukraine.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa