Meneja wa Chelsea, Thomas Tuchel amethibitisha kuwakosa beki wa kati Antonio Rudiger na kiungo Mate Kovacic katika mchezo wa dabi ya London dhidi ya West Ham siku ya Jumapili.

Akiongea na waandishi wa habari akiwa Cobham uwanja wa mazoezi wa Chelsea, Tuchel amesema wachezaji hao majeruhi waliokosekana katika dabi iliyopita dhidi ya Arsenal wataendelea kuwa nje ya Uwanja.

 

rudiger, Rudiger, Kovacic Kuikosa London Dabi., Meridianbet

“Wote [Rudiger na Kovacic] watakosekana katika mchezo wa Jumapili, lakini pia hakuna majeruhi wengine wowote” alisema Tuchel.

Rudiger na Kovacic waliumia katika mchezo wa nusu fainali ya kombe la FA ambapo walitinga fainali baada ya kupata ushindi wa 2-0 licha ya kiungo Mateo Kovacic kuondolewa dakika za mapema za kipindi cha kwanza.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa