Saka Asaini Mkataba Mpya

Kinda wa Arsenal, Bukayo Saka amesaini mkataba wa muda mrefu na klabu hiyo ya  Premier League.

Saka, 19, aliingia kwenye kikosi cha kwanza cha Arsenal msimu na kucheza mechi 33.

Kinda huyo wa Uingereza mkataba wake wa awali ulikuwa unamalizika majira ya kiangazi na kulikuwa na tetesi kwamba angeondoka.

Saka aliandika katika mtandao wake wa Twitter: “Arsenal ni timu yangu. Ni furaha kutangaza kuongeza mkataba wangu.”

Mkurugenzi wa Ufundi wa Arsenal, Edu amesema: “Hii ni muhimu kwetu tunavyoendelea kupambana kama klabu.

“Hiki kitu kila mtu aliyehusika alitaka kitokee na tunafuraha kuwa Bukayo amesaini mkataba wa muda mrefu.”

Saka, ni zao la akademi ya Arsenal na amefunga magilo matatu na kusaidia mengine 10 msimu huu.

40 Komentara

    Huyu dogo atawasaidia Sana sababu anjua anachokifanya akiwa uwanza,Namkubali Sana

    Jibu

    Habari njema kwa mashabk wa arsenal

    Jibu

    Atafanya mabadiliko makubwa sana

    Jibu

    Dogo upo vizuri

    Jibu

    Pongezi nyingi kwake

    Jibu

    Goodnews kwa mashabiki wa arsenal

    Jibu

    Huyu Saka Sijamfatilia sana ngoja Msimu mpya nitamcheck#Meridianbettz

    Jibu

    Sio mbaya anaweza kuja kufanya mabadili

    Jibu

    Huyo saka yuko vizuri Sana kwenye mpira

    Jibu

    Saka yuko poa sana Ni vizuri kumsajili haendelee kutoa msaada katika timu yak

    Jibu

    Pongezi kwake#meridianbettz

    Jibu

    Asantee meridian kwatarifa nzuri

    Jibu

    Ni jambo jema kuendelea na mkataba hapo arsenal mana yupo na umuhimu hiki kitu tulikuwa tunataka kitokee na tunafuraha kumuona Bukayo amesaini mkataba wa muda mrefu bado nikiungo anae tegemewa sana katika timu ya arsenal

    Jibu

    Pongezi nyingi kwake na azidi kuitendea timu yake miujiza ya magoli mengi

    Jibu

    Hongera saka

    Jibu

    gud news

    Jibu

    Hongera kwake

    Jibu

    Habari mjema

    Jibu

    Nimchezaji mzuri#meridianbett

    Jibu

    Hii ni habar njema sana kwa mashabiki wa arsenal kuona BUKAYO Saka, nyota wa timu ya Arsena kuwa anafurahi kuongeza mkataba ndani ya klabu hiyo kwa kuwa ni nyumbani na anapenda kuendelea kubaki hapo.
    Habar njema kuwa Arsenal wamempa dili refu nyota huyo huku miaka aliyoongeza ikiwekwa kibindoni ili abaki ndani ya kikosi hicho.
    Nyota huyo mwenye miaka 19 yupo tayari kuendelea kukipiga ndani ya kikosi hicho kilicho chini ya Kocha Mkuu Mikel Arteta Ni Jambo zur sana 👍 kwetu mashabiki
    Kabla ya kuongeza dili jipya nyota huyo alikuwa anawindwa na Liverpool, Manchester United pamoja na Bayern Munich Arteta amesema kila siku nyota huyo amekuwa bora kila wakati ndani ya Uwanja hiyo basi kuendelea kwake ni Jambo jema sana kwetu mashabiki
    # Arsenal jeshiiiiiiiiii

    Jibu

    Pongezi nyiny sana

    Jibu

    Yuko vzur

    Jibu

    Ni mchezaji mzuri ataisaidia sana timu yake katika mafanikio

    Jibu

    Saka pamoja kuwa mchezaji wa timu ya Asernal pia na timu anaipenda na ni mchezaji anaependa kujituma akiwa uwanjani ,anafurahia na kujisikia yupo kwenye timu anayoipenda

    Jibu

    team yeyote inayoamini katika kunyanyua vijana huwa naiombea mema sana

    Jibu

    Habar njema kwa gunner

    Jibu

    Safii sana saka kwa kuamua kubaki na Gunnar na kuendelea kujiakikishia namba kwenye kikosi hicho Cha arsenal ambacho akifanyi vizuri kwa msimu huu na licha ya mastaa kadhaa wakitaka kutoka kwenye klabu lakini saka yeye hajali na kutia sahihi na kuendelea kuitumikia klabu hiyo na anatakiwa kafanya arsenal ishinde ili miti iendelee kupandwa pale amazon

    Jibu

    Hongera saka.

    Jibu

    Maoni:safi sana saka

    Jibu

    Jamaaa yupo vizuri

    Jibu

    Safi Sana pambana saka

    Jibu

    Mchezaj mdog na bado atakuepo Zaid na anaitaj Zaid kujifunza saf san

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Atafanya mabadiliko makubwa sana

    Jibu

    hiyo timu ya watoto arteta inabidi arudishe zama za ex boss wake wenger tu

    Jibu

    Hongera yake bukayo saka kuendelea kubaki kwenye viwanja vya Emirates na habar njema kwa mashabiki wa arsenal kuendelea kumuona saka akiwa na jezi ya arsenal

    Jibu

    Habari njema kwa arsenal

    Jibu

    Ana msaada mkubwa atawafaa sana

    Jibu

    Asante kwa taarifa#meridianbettz

    Jibu

    huyu dogo atawasaidia sana sababu anajua nini anachofanya

    Jibu

Acha ujumbe