Sakata la Wayne Hennessy na Nazi Salute

Mwezi Aprili mwaka 2019, kipa wa Crystal Palace, Wayne Hennessy, alisamehewa mashitaka yake baada ya kusema hakujua alichokua anakifanya kama ni kosa.

Kipa huyo aliinua mkono wake na kuunyoosha kwa ishara ya saluti za wanazi,walizotumia wakati wa utawala wa Adolf Hitler nchini Ujerumani.

Ishara kama hiyo ni kosa kubwa nchini Uingereza na Ulaya kwa ujumla.

Hennessey alisema “Sijui  chochote kuhusu Nazi Salute ndiyo kwanza nasikia katoka kwa walionishtaki”.

Kwa utetezi huo, akaachiwa huru.


VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?

SOMA ZAIDI

18 Komentara

    Amefanya vizuri

    Jibu

    Hana baya yote mema

    Jibu

    Duhh huo ni upendeleo

    Jibu

    Amejitetea vizur

    Jibu

    Sio mbaya haki imetendeka ipasavyo kama alikuwa hajui

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Sio mbaya sheria imefata mkondo

    Jibu

    Duuuh noumer kweli

    Jibu

    Mjanja sana

    Jibu

    Kajitetea vyema

    Jibu

    Duuu sio poa hii

    Jibu

    Niceupdate

    Jibu

    Kajitetea vizuri

    Jibu

    Duuh ni nouma

    Jibu

    kajitetea vizuri

    Jibu

    Hakujua jamani

    Jibu

    Meridioan mpo vema kwa burudan

    Jibu

    Safi

    Jibu

Acha ujumbe