Nahodha wa timu ya Tanzania na klabu ya Aston Villa, Mbwana Samatta ameeleza kuwa hajui namna atakavyokaribishwa na klabu yake ya Aston Villa baada ya kumaliza mkopo katika klabu ya Fenerbahce ya Uturuki.

Samatta alijiunga na Aston Villa akitokea Genk kwa dau la pauni milioni 8.5 huku akitegemewa kuonesha makali na kusaidia timu hii, lakini alishindwa kufanya hivyo huku akifunga magoli mawili tu katika michezo 16 aliyocheza.

Samatta anaeleza kuwa sintofahamu hiyo inakuja baada ya ile hali ya ajabu iliyotokea alipotolewa kwa mkopo kwenda Fenerbahce ambapo mashabiki wengi wa Tanzania walionekana kukasirishwa na kitendo hicho huku wengi wakijiondoa kwenye mtandao wa Inastagram wa Aston Villa na wengine wakitukana wachezaji wa timu hiyo.

“Watanzania baada ya kuondoka Villa waliongea maneno makali sana kwa hiyo sijui nikirudi nitakaribishwa au nitafukuzwa nadhani nitarudi lakini sijui kama nitakaa sababu Watanzania wengi waliongea maneno makali huwezi kujua kama watakuwa wamenikasirikia” — Samatta.


MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa