Sanchez Avunja rekodi Dhidi ya Torino.

Sanchez ndio habari ya mjini, kauli ya mashabiki wa Klabu ya Inter Milan baada ya siku ya Jumatatu Mchezaji huyo kuonyesha mchezo mzuri dhidi ya Torino.

Mchezo huo uliotamatika kwa Inter Milan kuibuka na Ushindi wa GoliΒ  3-1, Lautaro Martinez alifanikiwa kuwa mchezaji bora wa mchezo huku Sanchez akitoa pasi mbili za magoli na kuhusika katika utengenezaji wa magoli mara 10 katika mchezo mmoja.

 

Sanchez Avunja rekodi Dhidi ya Torino.

 

Magoli ya Inter Milan yalifungwa na Ashley Young dakika ya 48, Diego Godin dakika ya 51 na Lautaro Martinez dakika ya 68. Huku goli la Torino likifungwa na mshambuliaji wao Andrea Belotti.

Hakuna mchezaji aliyetengeneza nafasi nyingi zaidi katika mchezo mmoja kwenye mchezo wa ligi katika Ligi kuu ya tano bora za Ulaya msimu huu kuliko Alexis SΓ‘nchez dhidi ya Torino siku ya Jumatatu, El NiΓ±o Maravilla alitoa Assists Mbili.

Alexis Sanchez akiwa ametengeneza nafasi 10 kwenye mechi dhidi ya Torino – Ni wachezaji watatu tu ndio waliotengeneza nafasi nyingi zaidi kwenye mechi moja ya Serie A kuliko mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Chile tangu 2004/05 msimu ambao data za aina hii zilianza kukusanywa.

11 Alessandro Diamanti (Mei 2013)
11 David Marcelo Pizarro CortΓ©s (Novemba 2011)
11 Antonio Cassano (Oktoba 2008).


Kuna ofa kibao sana unazofaidi ikiwa unabashiri na Meridianbet. Jiunge sasa kufurahia ofa zetu

Bonyeza HAPA Kujiunga.

52 Komentara

    Sachez amekuwa fundi tangu akiwa arsenal na mpaka sasa ameendelea na ufundi wake inter Milan

    Jibu

    Habari nzuri sana mana sikutegemea kama atavunja rekodi mana alipotea sana

    Jibu

    Umri ushaenda saiv anacheza kiuzoefu mkongwe huyu nae atundike tu madaluga kwa heshima

    Jibu

    Hongera sana kwako sanchez kwa kuvunja rekodi dhidi ya Torino

    Jibu

    Sanchez yuko vizuri sana anastahili pongezi

    Jibu

    Hongera kwa sanchez

    Jibu

    Sanchez bado yupo vizuri na sijui kwanini arsenal walimruhusu haondoke

    Jibu

    Umri umeshaenda lkn bado yupo vizuri kwenye mpira naamini ataendelea kufanya vizuri zaid

    Jibu

    Sanchez ni kiungo mzuri

    Jibu

    Hongera Sana Sanchez kwa kucheza mpira vizuri

    Jibu

    Habari njema hizi hongera Sana Sanchez.

    Jibu

    hongera sana Sanchez

    Jibu

    pongezi kwake Sanchez anajua kucheza mpira

    Jibu

    Safi san Sanchez kiungo mzuri

    Jibu

    Hongera kwa Sanchez

    Jibu

    Klabu pekee ambayo hajaitendea kazi vyema ni united

    Jibu

    Uzuri ni kwamba Sanchez yupo kwenye ligi ambayo ni saizi yake Ndio maana ameweka Record zake

    Jibu

    Kiungo mzuri bado

    Jibu

    Asanteh kwa taarifa

    Jibu

    Hongera Sanchez

    Jibu

    Mashabiki wa Man U wangetamani afanye haya alipokuwa na timu yao. Bila shaka Conte atamuchukua moja kwa moja#meridianbettz

    Jibu

    Sanchez anajua kujituma kwaiyo anastahili pongezi

    Jibu

    Hongera kwake

    Jibu

    Hongera Sanchez

    Jibu

    Hongera sanchez#meridianbettz

    Jibu

    Tuki mzungumzia Alexis Sanchez ni bonge la kiungo so ana stahir kumfunika

    Jibu

    Hakuna mchezaji aliyetengeneza nafasi nyingi zaidi katika mchezo mmoja kwenye mchezo wa ligi katika Ligi kuu ya tano bora za Ulaya msimu huu kuliko Alexis SΓ‘nchez dhidi ya Torino siku ya Jumatatu, El NiΓ±o Maravilla alitoa Assists Mbili.

    Jibu

    Hongera sana kwa sanchez

    Jibu

    Sunchez anajua mpira nashangaa man u walukua wanamuweka bench tuu sijui walikua wanakwama wapi?

    Jibu

    Habar njema sana πŸ‘

    Jibu

    Hongera sunchez

    Jibu

    Sanchez amekuwa imara toka ajiunge na intet

    Jibu

    Sanchez mwamba

    Jibu

    Sanchez alifanya kazi nzuri sana

    Jibu

    Sanchez mchezaji mzur san

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Sanchez serie a imemkubali Sana amekua na kiwango bora tokea atimkie huko kwa mkopo.

    Jibu

    Maoni:Hongera kwake yuko vizuri

    Jibu

    Binafsi napenda sana uchezaji wa huyu jamaa ni mpambanaji sana uwanjani

    Jibu

    Sanchez ndo habari ya mjini kwa sasa

    Jibu

    Safii Sana Sanchez yupo vizuri kijana huyo anajua

    Jibu

    Nafurahi kuona Sanchez amekuwa na msimu mzuri ndani ya Inter

    Jibu

    Sanchezi namkubali sana.

    Jibu

    Safii sana sanchezi yupo sawa tangia hatua klabu hiyo ya inter na kwajinsi anavyoonyesha kiwango kikubwa nahisi inter watamnunua kiungo huyo wa man u anaekipiga inter kwa mkopo licha ya kiwango pia man u imemuweka sokoni kiungo huyo naamin inter watamchukua mchezaji huyo

    Jibu

    Sanchez ni mchezaji mzuri sana hajawahi kuchuja

    Jibu

    Alex sanchez bado yupo kwenye form

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Sanchez ni mchezaji mzuri sana ila umri umemtupa akili inataka mwili hautaki

    Jibu

    huko ndiko kunamfaa sio United

    Jibu

    Namkubali sn

    Jibu

    Big up to him

    Jibu

    Sanchez mnyama#

    Jibu

Acha ujumbe