Mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Jadon Sancho amesema ilikuwa kama utani kulimwa fani na German football league baada ya kupigwa picha akinyoa nywele nyumbani bila kuvaa maski.
Sancho na mchezaji mwenzake Manuel Akanji walimwa faini kwa kuvunja sheria.
Ligi imesema “wamevunja sheria ya usafi na kuzuia maambukizi”.
Sancho, 20, alikosoa uamuzi huo kwneye posti yake ya Twitter lakini baadae alifuta posti hiyo.
Dortmund iliwakingia kifua wachezaji wake kwa kusema hawajavunja sheria za afya na usalama.
Alhamisi, Mkurugenzi wa Michezo wa Dortmund, Michael Zorc alisema kundi la wachezaji sita amehakikisha walifuata hatua za usalama na maski zilivuliwa tu kwaanjili ya kupiga picha.
Lakini (DFL) iliamua kuchukua hatua dhidi ya Sancho na Akanji baada ya kupiga picha bila maski.
Warda
Jamaa wako makini sana #Meridianbettz
Adelta
Asante meridianbet kwa taarifa
Ila Hawa jamaa wako vizuri
isha
Sancho pole sana kaka angu yataisha tuu hayo
Rehema Dickson
Du hili balaa na nusu ikija Tanzania hii naona tutalipa fain mpaka tukome maana mtu anatakiwa ailinde afya yake na awalinde wengine lakini kuvaa barakoa mpaka aambiwe tena kwa kulazimishwa sana
Ester jackson
Kweli sheria ifuate mkondo wake ila kwa upande mwengine waangalie na kosa lenyewe lilitendeka akiwa wapi mfano kwa Sancho alikuwepo nyumbani amepewa adhabu ya kulipa faini au kwa sababu ni mtu maarufu
Elika
Yatakwisha tuu haya yoooote
felister
ameyataka mwenyew kwani kulikuwa kuna ulazima gani apost post akiwa ananyoa
Devotha
Wapo sahihi lazima wachukue tahadhari kwa sheria ili waweze kuepukana na hili janga la corona
Neema juma
Duu hili jangaa balaaa mwendo wa mask
Mwanaidi
Duuh ni balaa
Khadija
Duuh Pole sana sancho kwani siku nyengine usirudie#meridianbettz
winfrida
pole sana Sancho
Evaluziga
Wapo sahihi wanatakiwa wamchukue tahazari juu ya hili gonwa la corona Lina tisha
Ester mmakasa
Jamani kama wako kifungoni wachezaji ,sio kwa kufwatiliwa uko ,ila wanatakiwa wawe makini sana.
Mwajuma
Wamekosea sanaa kumpiga gauni kwa maana alikuwa sahihi kufanya vile
Tahiya
Noma sana
Salma
Sheria ifatwe
Asha mvugalo
Duh Sheria imefuta mkondo wake
Sadick
Sheria msumeno inakata kote kote. Wakati huu wa LOCKDOWN wengi wengi maarufu wameadhibiwa kwa kutofuata utaratibu uliowekwa kuzuia maambukizi#meridianbettz
mwakalosi
hizi issue ziko seriously sana
Antony Luseno
Wenzetu sheria haina msamaha
Adelta
Ni habari njema Kama kumwona
Arsene anarudi
Hope mwaikuka
Axante kwa taarifa nzur
Hamidu
Fundi wa mpira..mkali wa assist
Genia Sikaluzwe
Daaaah noma sana hiyo
Christopher
Kwel wapo serious hao jamaa
Agness
Asantee kwa taarifa meridian
Rehema
Duuuh noma
Povel
Dah sheria imefuata mkondo wake kwl
Ernest
Jamaaa mtukutu sana
David Pere
Wagerumany kweli Wana roho mbaya Sana yaani baada ya kumuunga mkono Sancho wao Wana mlima faini kwa kuonyesha msimamo Wake
Theckla
Ameyataka mwenyewe
Emmy cleopa
Ahsante meridian kwa taarifa
Gabriel
Duuuh! Mbona Sheria kal sana
JULIANA
Kweli wenzetu wapo makini kinyama,uku kwetu ni mmmmh 🤔🤔
mathayo sonje
Sasa jamani hata akiwa nyumbani anavaa tu barakoa? ananyoa barakoa ya nini, wamemuonea bhana, waangalie na mazingira japo ni muhimu.
lombo
duuh iyo sheria nmeipenda iletwe na uku bongo
Amani
Nijambo jema kufatilia wachezaji wasije pata maambukizi big up Sana kwa shilikisho la ujeruman
Zeiyana
Wachezaji wana ali ngumu sana hadi wakizoea itachukua mda
Caroline
Izo sheria ni Kali jmn dah.
Magdalena
Bora alimwe faini kazidi sifa
Kenani
Ebwana noma sana Corona imekuwa tishio na imeongeza Sheria kweny soccer
Lydia Emmanuel Magoti
Wenzetu Sheria Aina msamaha
Mariam mtandama
Asante meridianbet #kwa taarifa
Dorophina
Wako makini sana hawataki masihara
Shafii
Sheria zizingatiwe kwa wanamichezo