Manchester United wamekuwa wakihusishwa na kutaka saini ya kiungo wa Atletico Madrid, Saul Niguez.

Baada ya United kupoteza kwenye fainali ya Europa League, sasa imejizatiti kwenye kutengeneza kikosi chake ili kuhakikisha kuwa wanakuwa vyema na imara zaidi kwa ajili ya msimu ujao.

Saul Niguez amesaidia timu yake ya Atleti kujinyakulia taji la LaLiga mbele ya mabingwa Barcelona na Madrid ambao wamekuwa wakichukua kila mwaka.

Saul Niguez anahitajika pia na klabu ya Paris Saint German na Juventus lakini yeye anaonekana kuhitaji kwenda Premier League lakini suala hilo litategemea sana na mahitaji ya Solskjaer.

Bei ya Niguez ni euro milioni 40 tu lakini kupata namba katika kikosi cha United kinategemeana sana na kocha Ole kwa sababu kucheza na kuchukua nafasi ya Pogba au Bruno Fernandes kukaa benchi, ni kitu kigumu sana.


MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa