Sean Dyche aliwahi kusema kua Beki anaka kazi Moja tu Uwanjani ni kulinda lango la timu yake “Defending is a dying art,” Alizungumza hivi kocha wa Burnley Sean Dyche, nadhani ilikuwa 2016. Kumbuka Sean Dyche alicheza sana eneo la ulinzi enzi zake.
Sean Dyche

Kwa maelezo ya Dyche ni kwamba, kuna tofauti kati ya ‘Mlinzi anayelinda’ na ‘Mlinzi anayetaka kulinda’. Dunia ya sasa ina walinzi wanaolinda kuliko Walinzi wanaotaka kulinda,

Ndiyo maana saana ya ulinzi inakufa kila asubuhi.

Ndani ya Beki anayetaka kulinda yupo beki anayelinda lakini ndani ya beki anayelinda hakuna beki anayetaka kulinda.

Nikurahisishie kwa huu msemo, “Machungwa yote ni matunda lakini siyo matunda yote ni Machungwa”. Hapo nadhani umenielewa, mabeki wote wanaotaka kulinda ni mabeki wanaolinda lakini sio mabeki wote wanaolinda ni mabeki wanaotaka kulinda.

Sean Dyche

Beki anaotaka kulinda ni yule aliyetayari kufanya chochote kwa ajili ya usalama wa lango lake. Ataruhusu mwili wake upate maumivu kwa ajili ya usalama wa lango lake.

Atasafiri angani, atashuka ardhini, ataenda uvunguni atachukua mali na kuondoka. Atakinga tumbo kwenye shuti na atarusha kichwa kwenye mguu. Hawa ndio mabeki wanaotaka kulinda.

Hawa watu hawapatikani sana kwa sasa!


BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.

Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.

tuchel, Tuchel :Tuna Bahati Tottenham Wametusaidia Kazi., Meridianbet

SOMA ZAIDI

3 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa