Serie A ya Italia itarejea Juni 20 na Waziri wa michezo Vincenzo Spadafora amethibitisha.
Serie A ilisimamishwa Machi 9, huku Juventus akiongoza kwenye msimamo kwa pointi ikiwa raundi 12 zimesalia.
Wachezaji walianza mazoezi binafsi mwezi uliopita, kabla ya kuanza mazoezi ya kundi wiki hii.
Mnamo Tarehe 20 Mei, Italian football federation (FIGC) liliweka 20 Agosti kuwa ndio mwisho wa kumaliza msimu wa 2019-20.
Shafii
Safi Sanaa
Neema hassan
Mambo moto
Adelta
Mambo Ni Moto # meridianbet
Caroline
Tunasubiria kwa hamu série A
Warda
Kunaachaje kunoga mbele ya mnyama CR7 #Meridianbettz
Antony Luseno
Mambo mazuri kwa upande wa michezo
Khadija
safi sana#meridianbettz
Lombo
mambo n moto
Juliana
Safi kwa maamuzi ya Itali irudi michezoni
Theonestina
Safi sana
Magdalena
Mambo ni motroooo
#meridianbet
Hamidu
Tulimiss burudani#meridianbettz
David pere
Acha kunogeee leteni burudani hiyoo
Salma
Tulimis burudan
Adelta
Mambo Ni moto
Frank Patrick
habari nzuri hii kwa wapenz WA MPIRA
Samiah
Safi sana meridian
Neema juma
Nomaa sana
aisha
Sio kitoto acheni kunoge
winfrida
serie A nayo inanukia maana kumekua na minong’ono mingi, ije tupige pesa
Ernest
Itakuwa Pouwa sana, Huku Bundesliga, hapa EPL na kule Serie A!!!!! Ni mwendo wa kutupia mikeka tuu
Mwanaidi
Mambo yanazidi kunoga
Hope mwaikuka
Mambo moto
Genia Sikaluzwe
Mambo no hatari
Amani
Tulimiss burudani#meridianbettz
Gabriel
Habar njema# meridianbet
Lydia Emmanuel Magoti
Safii sana
felister
mambo yametaradadiii
Evaluziga
Mambo ni moto
Rehema
Mambo yanazid kuwa matamu
dorophina
Vizuri
Ester mmakasa
Kumenoga kweli jamani.
Sadick
Habari njema kwetu wapenda soka#Meridianbettz
Theckla
Habari njema kwa wadau wa mpira
mwakalosi
hii ni habari njema kwa vilabu vya italia kuweza kupunguza hasara
Rehema Dickson
Ni mwendo wa kutupia mikeka tuu
Zeiyana
Asante sana kwa taarifa sis mashabik tunasubir kwa hamu
Furahav
Itakuwa bomba sana.
Ester jackson
Mambo ni moto
Aziza mushi
Good👏👏
Mwajuma
Bola maana nimemiss bwebwe za cr7
Mwanahamisi
Safi sana
Povel
Ni habar njema kwa wapenda soka na wapenda kubashir dunia meridian bet tz#
Emmy cleopa
Vizur sana