Serikali imeidhinisha leseni ya uuzwaji wa klabu ya Chelsea kwa Todd Boehly kwa dau la £4.25bn.

Baada ya mazungumzo ya miezi kadhaa, mkataba huo hatimaye umeidhinishwa baada ya serikali kupata hakikisho la kisheria kwamba Roman Abramovich ( ambaye mali zake za Uingereza zimefungiwa) hatanufaika na mauzo hayo.

 

chelsea, Serikali Yatoa Leseni Chelsea Kuuzwa., Meridianbet

Hatua hiyo inafwatia baada ya hapo jana Bodi ya Premier League kuthibitisha mapendekezo ya kuuzwa kwa klabu ya Chelsea kwa Todd Boehly na washirika wake kama ilivyotangazwa kwenye kurasa za ligi hiyo.

Bilionea wa Urusi na Israel, Abramovich aliiweka sokoni Chelsea Machi 2, ambayo aliinunua mwaka 2003, wiki moja baada ya Vladimir Putin kuvamia Ukraine mnamo Februari 24.

“Jana usiku Serikali ya Uingereza ilifikia hatua ambapo tunaweza kutoa leseni inayoruhusu kuuzwa kwa Klabu ya Soka ya Chelsea,” ilisomeka taarifa ya serikali.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa