Sevilla Mabingwa wa Ligi ya Europa

Kocha wa Inter Milan, Antonio Conte usiku wa kuamkia leo Uwanja wa RheinEnergieStadion aliambulia kadi ya njano wakati timu yake ya Inter Milan ikipoteza taji la Europa League mbele ya Sevilla kwa kukubali kichapo cha mabao 3-2.

Conte alionyeshwa kadi hiyo ya njano baada ya kuingia kwenye mzozo na nyota wa timu ya Sevilla, Ever Banega baada ya kujibizana kuhusu masuala ya nywele. Conte alisikika na mwamuzi wa kati akisema kuwa nitakuona baada ya mechi jambo lililopelekea aonyeshwe kadi ya njano huku neno la Banega aliyemtania kuhusu nywele zake hilo mwamuzi hakuskia.

Sevilla inamshukuru nyota wa Inter Milan, Romelu Lukaku kwa kujifunga goli lililowapa ushindi kwani ngoma ilikuwa 2-2 mpaka dakika ya 72 jambo lililoongeza ushindani kwa timu zote mbili.

Mabao ya Inter Milan yalifungwa na Lukaku mwenyewe dakika ya 5 kwa penalti na Diego Godin dakika ya 35 huku yale ya Sevilla yakifungwa na Luuk de Jung dakika ya 12 na 33 na lile la ushindi la kujifunga Lukaku ilikuwa dakika ya 74.

Kupoteza kwa Inter Milan pia kunaiweka kwenye hatihati nafasi ya Conte ndani ya kikosi chake cha Milan kwa kuwa inaelezwa kuwa aliambiwa akishindwa kumaliza msimu na taji lolote safari ya kuondoka inamhusu.


Drops and Wins!

Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.

Soma Zaidi

41 Komentara

    Hongera sana Sevilla

    Jibu

    Wako vizuri mnooo

    Jibu

    sevilla mpira mmeucheza vizuri sana mnastahili pongezi nyingi sana

    Jibu

    Sevilla wanadhihirisha kuwa kombe la EUROPA ni la kwao kivyovyote vile

    Jibu

    Good news
    @meridianbettz

    Jibu

    pongezi kwa sevilla#meridianbettz

    Jibu

    Sevilla mpo vizuri

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Pole sana mashabiki wa inter makosa yapo na yanatokea .!kwa mchezo mliotuonesha jana mlipambana sana ila ndio ivyo tena bahati haikua kwenu daaah..!

    Jibu

    Hongera yao Sevilla walicheza gemu vizuri na wakawakilisha vyema chama lao

    Jibu

    Sevilla jeshi

    Jibu

    Kombe hili kwa Sevilla ni uji kwa mgonjwa. Hongera Sevilla#meridianbettz

    Jibu

    duh pole yake conte muda wowote anajiandaa kufungasha vilago vyake

    Jibu

    Hongera kwa sevilla

    Jibu

    Ongera yao

    Jibu

    Pongezi kwa sevilla#Meridianbettz

    Jibu

    Sevilla imepata ushindi wa mezani

    Jibu

    Sevilla wametisha

    Jibu

    Sevilla wanastahili kua mabingwa na hili ni kombe lao kwa miaka mingi na ameshalitwaa mara sita,hongera kwao

    Jibu

    Mambo mazuri kwao Sevilla

    Jibu

    Safi Sana Sevilla

    Jibu

    Pole konte hao ndio sevilla makombe yote
    Uwaoni ila ueropa league utawajua tu vilivyo

    Jibu

    Sevilla juuu

    Jibu

    Hongera sevilla

    Jibu

    Kiukwel mech ilikuwa ya ushindan mkubwa sana maana kwa kiwango cha inter walivyojipanga asilimia kubwa ya mashabiki hawakuamin matoke na ukiangalia mech ilikuwa ya ushindan mkubwa sana ila ndo hivyo sevila alitumia nafas ambayo inter walijisahau

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Waooo

    Jibu

    Congrat Sevilla fc

    Jibu

    Sevilla wameonyesha kiwango Bora sana wanahaki ya kushinda

    Jibu

    Pongezi za dhati ziende kwa sevilla kwa ubingwa.

    Jibu

    Sevilla mmetingisha nyavu vya kutosha,pongezi kwenu!!!!

    Jibu

    Sevilla wanastahili kua mabingwa na hili ni kombe lao kwa miaka mingi na ameshalitwaa mara sita,hongera kwao

    Jibu

    Pongezi Seville

    Jibu

    Hongera Sana Sevilla

    Jibu

    Pongezi kwa Sevilla

    Jibu

    Sevila noma.

    Jibu

    Duuh hongera sana sevila

    Jibu

    Sevilla wanatisha.

    Jibu

    Nilifurahi sana Sevilla kushinda

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.